Kajunjumele BA
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 673
- 351
chiaguzi za ngazi tofauti katika chama zapaswa kufanyika,sanduku la kula litaamua nani anahitajika katika ngazi mbalimbali chamani,haiwekani mtu anashikilia nafasi miaka 10 no uchaguzi hii sio democrasia,chama cha siasa ni chama cha watu na sio cha ukoo au familia furani,ukifanyika uchaguzi hao wanaotwa wasaliti watatoweka.
Mkuu nadhani hayo ni maoni yako lakini kuongoza upinzania ni tofauti na kuwa IKULU ....Nadani kama watu wanaimani na mtu hata Miaka Ishirini ni kidogo haitoshi....alimradi wanachama wana Imani naye na mhusika ana uwezo wa kusimamia na kuendeleza malengo na sera za chama.