Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

Kwanini kila jambo linalohusiana na usaliti sambamba na kukibomoa chadema lazima na Zitto awepo?¿ Issue ya kuutaka urais ilihali akijua hana sifa kama katiba inavyoelekeza aliibua yeye na mwisho baada ya kubanwa kwa hoja ikatoweka! Issue ya kina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba mpaka dakika ya mwisho ya usaliti wao walisema kwamba Zitto ndiye tumaini lao na kuthibitisha kwamba tangu hila na vuta nikuvute za uchaguzi wa Bavicha Zitto alikuwa nyuma yao kama "Master Mind" the same to Mwigamba ambaye pasipo kutumia akili ameuponda uongozi wa juu wa chadema na kumfagilia Zitto kupita maelezo huku akisahau kwamba Zitto nae ni kiongozi wa juu wa chama na kama ni lawama hata Zitto na yeye zinamhusu!

Ni vyema tu Zitto akatambua kwamba "hata Kenge akue vipi hawezi kuwa mamba"!
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Mbona una michecheto, uchaguzi utafanyikaje kabla ya muda? Ninyi ndo ajenti wa CCM mnasubili uchaguzi ufanyike ili muwagawanye CDM au mpenyeze vibaraka wenu. Mi naishauri CDM isifanye uchaguzi mpakabaada ya uchaguzi mkuu 2015 ingawaje uchaguzi wenu ni mwakani. Watu kama hawa wajinyonge au wajitoe kwenye chama.

Kwa mawazo na upeo wa kufikiri kama huu ni ndoto kwa Afrika kuendelea.Elimu ya ziada ya kujitambua inahitajika sana Afrika la sivyo.Zambia ni somo zuri sana kwetu baada ya Upinzani chini ya Frederick Chiluba kum-dislodge Kenneth Kaunda kilichofuatia baada ya hapo ni kashfa nzito nzito za ufisadi ambazo ziliuelemea utawala wa Chiluba.Haya yote yalitokea kwasababu Wazambia hawakutumia reason kumtafuta mbadala wa Kaunda walikuwa too emotionally driven na hivyo kupoteza fursa ya kuwa-vet & kuwa-scrutinize na hata kuwawekea moral standards watu walitaka kuwakabidhi Ikulu matokeo yake ikaonekana kama vile walibadili Chama tu lakini watu ni wale wale.CHADEMA kuweni makini.
 
Maadui hawana uwezo wa kutuamulia.Kama hao wasaliti na vibaraka wao ni wazuri basi waenda wakagombee huko Lumumba.

Kwanza uliona wapi Jeshi makini likabadili Majenerali katikati ya vita kwa kufuata matakwa na hila za maadui?

Kama suala ni uchaguzi basi subiri hao vibaraka wao waingie mbele ya sanduku la kura waone cha mtemakuni
Ben Saanane katika umri wako mdogo unaonekana kijana mahiri wa kujenga hoja na mwenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa vijana ndani na nje ya CHADEMA lakini ninatoa angalizo moja kwako

Endapo Mwenyekiti Mbowe atagombea nafasi ya Uenyekiti basi ni bora wewe ukaacha kugombea uenyekiti wa vijana. Kwa kufanya hivi utakua umepunguza propaganda za CDM kuwa chama cha wachagga au wakaskazini. Kwa hiyo chagua moja, ama Zitto agombee Uenyekiti ili wewe uwe na uhalali wa kisiasa wa kugombea Bavicha au Mbowe agombee Uenyekiti wewe ukose kugombea Bavicha. Tathimini vita yako unayopigana nayo

Kwa hiyo sasa, kwa ushawishi ulio nao unaweza kushirikiana na uongozi utakaochaguliwa wa bavicha kutengeneza baraza imara la kuvuka uchaguzi mkuu. Ni bora hata ukagombea nafasi ya katibu Mkuu wa Bavicha kuliko nafasi ya uenyekiti itakayozidisha propaganda. Tutakibomoa chama kwa kuendekeza siasa za Ukanda na udini. Hapo kwenye udini hakuna tataizo ndani ya chama kama ukabila na ukanda

Pia ungependeza zaidi ungejikita kwenye nafasi za kichama kama kurugenzi na idara ndani ya chama halafu ukaachana na Bavicha. Waunge mkono watakaojitokeza kugombea nafasi hiyo achana na kazi ya kujenga mtandao na mikakati kabambe ya siasa chafu unazopanga na kutekeleza kwa kushirikiana na Rose Mayemba wa RUCO, Hemmed Hassan Masood wa Unguja, Zainabu Haroub wa Chake Chake Pemba, Getrude Ndibalema wa UDOM, Mashuve Aron (Mwenyekiti wa BAVICHA –Tanga), Josephat Issango (Mwenyekiti wa vijana Singida), Fred Ndajo wa Kigoma, Danny Mela wa Kilimanjaro, Exaud Mamuya wa Arusha, Olevarayo Noel wa Arusha, Renatus Pamba Diwani wa Sinza,Mlebele wa Mwanza (huyu ndiye aliyesema alitumiwa hela na Mchange), Edward kinabo anayefanya Kazi John Hopkins na Mjumbe wa Baraza Kuu,Mikael Aweda Mwenyekiti wa Chadema Ukonga (mjumbe wa Baraza kuu) na wengineo

Kumbuka propaganda ya ukabila ina nguvu sana na ni vyema ukapima hili kwa maslahi ya chama chetu kuliko ulivyofanya kipindi kile ukaishia kuenguliwa

Tuhuma za ukabila na ukanda zimetolewa sana na akina Mwampamba, Mchange, Shonza, Kafulila na hata Chacha Wangwe huko nyuma na hii ndiyo inayoonekana inatumika kumtenga Zitto. Kama wewe siyo Mroho wa Madaraka basi hicho kisirani chako cha kuitaka Bavicha kwa udi na uvumba achana nacho.

UCHAGUZI UJE, Idumu CHADEMA
 
Ukabila haupo CHADEMA bali hoja za waloshindwa kukisambalatisha, gamba walifanikiwa vyama vingine kwa CHADEMA no.
 
Mwisho wa siku itaonekana kuwa Zitto ndo ''Jambazi'' aka Carlos kwny muvi hizi zote,anzia ya Masalia,jumba la Uswiz,Uchaguzi nk.daah nampongeza Staring No.1,Mbowe,na no.2 Dr.Slaa japo wanahangaishwa sana.mpo imara kama Danzel Washington
 
African Politicians! Hivi Mh Mbowe anapowaita wenzake wasaliti na waroho wa madaraka, ni nani ambaye yuko katika siasa hasiyetaka madaraka yanayoambatana na uanasiasa wake? Yeye alilazimishwa kuwa mwenyekiti wa Chama hicho na je mbona sasa anawaita majina machafu wenziwe wanaodai tu taratibu za kidemokrasia ndani ya chama zifanyike. Chama chochote cha siasa ambacho kinajipambanua kuwa ni cha kidemokrasia lazima kiheshimu misingi ya kidemokrasia ambayo ni pamoja na kuwaruhusu watu kutoa maoni mbadala hata Kama huyapendi wala hayakupendezi, pia kuwapa nafasi watu kuchagua kwa mujibu wa taratibu viongozi wawatakao.

Ukianza kupindisha taratibu hizo ili usalie madarakani basi ujue wewe ndio msaliti na mroho wa madaraka.

Usichokiona wewe au ni seme hivi unachojifanya kutokijua ni kuwa kuna watu wanatumia kigezo hicho cha demokrasia kutaka kupenyeza nia zao ovu za kukivuruga chama cha cdm.

Hata wakati wa mapambano ya kupinga siasa za ubaguzi wa makaburu wa SA. Makaburu walipenyeza mamluki wao ndani ya ANC kutaka kuvuruga juhudi za watu walio kuwa na nia njema ya kupinga ubaguzi.

Tofauti na cdm ANC wao walipomgundua msaliti adhabu yake ilikuwa ni kifo tu tena wakati mwingine kwa kuwa piga kiberiti.

Makaburu wa TZ ya leo ni hawa wanaotaka kuudhofisha mfumo wa siasa za vyama vingi nchini, lazima wananchi wasimame imara kuwapinga kwa nguvu zao zote. Kwani mfumo huu ni kwa manufaa yao.

Kinachotakiwa ni chama tawala imara kwa kutumikia wananchi na upinzani imara wa kuwa wajibisha chama tawala. Hajilishi nani ana tawala na nani mpinzani.

Muhimu kwa yeyote yule anayeitakia nchi hii mema ni wote, yaani wanao tawala imara na wapinzani wa wanao tawala imara na hii ni kwa faida ya nchi hii na watu wake.

Mungu ibariki Tz.
 
Maadui hawana uwezo wa kutuamulia.Kama hao wasaliti na vibaraka wao ni wazuri basi waenda wakagombee huko Lumumba.

Kwanza uliona wapi Jeshi makini likabadili Majenerali katikati ya vita kwa kufuata matakwa na hila za maadui?

Kama suala ni uchaguzi basi subiri hao vibaraka wao waingie mbele ya sanduku la kura waone cha mtemakuni
Hii uliyotoa ni jibu muafaka kwa wasiotutakia mema.Ni ajabu katika kipindi hiki vita ya kupigania katiba mpya,ambayo itarejesha mustakhabali wa nchi kwa Watanzania wenyewe na Viongozi waliojitolea mda wao na maisha yao na hawajaonyesha uoga wowote katika suala hilo nyeti. Mtu anajitokeza kuingiza hoja nyingine ya kuvurugana, mimi kwa maoni yangu naona huyo amepotoka na kututoa kwenye hoja ya msingi ya kutafuta katiba itakayorejesha matumaini na heshima ya Mtanzania.
 
Ukiwa kiongozi chadema basi hautakiwi kutoa maoni yako hata kama yana mantiki utaitwa msaliti tu
 
NAama lazima uitwe hivyo kwa sababu kitakacho kuponza ni nia ovu iliyo jificha katika mantiki yako. Kumbuka kimtokacho mtu ndicho kilicho ujaza moyo wake.

Kama moyo wako umejazwa na usaliti utaitwa msaliti tu hakuna jinsi, kama umejazwa na nia njema utasikilizwa na mawazo yako kufanyiwa kazi.
 
Ben Saanane katika umri wako mdogo unaonekana kijana mahiri wa kujenga hoja na mwenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa vijana ndani na nje ya CHADEMA lakini ninatoa angalizo moja kwako

Endapo Mwenyekiti Mbowe atagombea nafasi ya Uenyekiti basi ni bora wewe ukaacha kugombea uenyekiti wa vijana. Kwa kufanya hivi utakua umepunguza propaganda za CDM kuwa chama cha wachagga au wakaskazini. Kwa hiyo chagua moja, ama Zitto agombee Uenyekiti ili wewe uwe na uhalali wa kisiasa wa kugombea Bavicha au Mbowe agombee Uenyekiti wewe ukose kugombea Bavicha. Tathimini vita yako unayopigana nayo

Kwa hiyo sasa, kwa ushawishi ulio nao unaweza kushirikiana na uongozi utakaochaguliwa wa bavicha kutengeneza baraza imara la kuvuka uchaguzi mkuu. Ni bora hata ukagombea nafasi ya katibu Mkuu wa Bavicha kuliko nafasi ya uenyekiti itakayozidisha propaganda. Tutakibomoa chama kwa kuendekeza siasa za Ukanda na udini. Hapo kwenye udini hakuna tataizo ndani ya chama kama ukabila na ukanda

Pia ungependeza zaidi ungejikita kwenye nafasi za kichama kama kurugenzi na idara ndani ya chama halafu ukaachana na Bavicha. Waunge mkono watakaojitokeza kugombea nafasi hiyo achana na kazi ya kujenga mtandao na mikakati kabambe ya siasa chafu unazopanga na kutekeleza kwa kushirikiana na Rose Mayemba wa RUCO, Hemmed Hassan Masood wa Unguja, Zainabu Haroub wa Chake Chake Pemba, Getrude Ndibalema wa UDOM, Mashuve Aron (Mwenyekiti wa BAVICHA –Tanga), Josephat Issango (Mwenyekiti wa vijana Singida), Fred Ndajo wa Kigoma, Danny Mela wa Kilimanjaro, Exaud Mamuya wa Arusha, Olevarayo Noel wa Arusha, Renatus Pamba Diwani wa Sinza,Mlebele wa Mwanza (huyu ndiye aliyesema alitumiwa hela na Mchange), Edward kinabo anayefanya Kazi John Hopkins na Mjumbe wa Baraza Kuu,Mikael Aweda Mwenyekiti wa Chadema Ukonga (mjumbe wa Baraza kuu) na wengineo

Kumbuka propaganda ya ukabila ina nguvu sana na ni vyema ukapima hili kwa maslahi ya chama chetu kuliko ulivyofanya kipindi kile ukaishia kuenguliwa

Tuhuma za ukabila na ukanda zimetolewa sana na akina Mwampamba, Mchange, Shonza, Kafulila na hata Chacha Wangwe huko nyuma na hii ndiyo inayoonekana inatumika kumtenga Zitto. Kama wewe siyo Mroho wa Madaraka basi hicho kisirani chako cha kuitaka Bavicha kwa udi na uvumba achana nacho.

UCHAGUZI UJE, Idumu CHADEMA

Go on Ben Saanane kama una mawazo hayo.

Ni uwendawazimu kumnyima mtu haki yake ya kikatiba kwa mawazo ya kijinga ya ukabila na udini!
 
Last edited by a moderator:
Mtaongea yote,mtasema yote,lkn hayatakuwa na madhara kwetu maana mlishatutangazia kupitia viongozi wenu akiwamo Wasira kwamba mnataka CDM ife,nani hataki ahojiwe kuhusu ukomo wa madaraka?Muulizeni Mwigamba atawajibu jinsi demokrasia ilivyo kwrnye vikao vya chama,Muulizeni hata baraza kuu lililopita hali ilikuwaje kwa wajumbe kutoa yaliyo ya moyoni,lkn kwa hili mlilomtuma Mwigamba ni ujinga tu,na njaa,anajua kabisa taratibu zetu zilivyo,hoja zote ni kwenye vikao,malalamiko yote ni kwenye,vikao,iweje aende kwenye mitandao kama sio kutumiwa na maccm?leo hii issue imegeuka storu ya mjini,mmsahau juzi juzi tu Bukoba ilikuwaje magamba,mwenzenu wa ZNZ mmempora kadi tu kea kuwaambia msimamo wake kuhusu serikali tatu,tofauti na la Mwigamba,kwenye kikao hakusema juu ya tuhuma anamaliza kueasilisha anaingia kwenye mtandao anasema vingine.
Mbowr bafo ,wenyekiti bora,ataendelra kuwa mwrnyekiti bora,na kamwr hatutakubali CDM idhofishwe na wachumia tumbo.

Ndugu yangu, Mimi si mwanachama wa CCM wala chama chochote cha siasa. Angalia profile ya maandishi yangu hapa na utatambua. Mimi ni mshabiki wa demokrasia ya kweli na mabadiliko chanya basi. Ninavhokisema hapa ni ubiri kwa maneno na matendo.
 
Kwa mawazo na upeo wa kufikiri kama huu ni ndoto kwa Afrika kuendelea.Elimu ya ziada ya kujitambua inahitajika sana Afrika la sivyo.Zambia ni somo zuri sana kwetu baada ya Upinzani chini ya Frederick Chiluba kum-dislodge Kenneth Kaunda kilichofuatia baada ya hapo ni kashfa nzito nzito za ufisadi ambazo ziliuelemea utawala wa Chiluba.Haya yote yalitokea kwasababu Wazambia hawakutumia reason kumtafuta mbadala wa Kaunda walikuwa too emotionally driven na hivyo kupoteza fursa ya kuwa-vet & kuwa-scrutinize na hata kuwawekea moral standards watu walitaka kuwakabidhi Ikulu matokeo yake ikaonekana kama vile walibadili Chama tu lakini watu ni wale wale.CHADEMA kuweni makini.

Nilishakuambia tangu.jana huu mziki wa CDM ni mnene hutauweza!

Utabadili sana ID lakini shika kwa umakini maneno yangu kwa umakini mkubwa:

Kwamba Chadema itachaguwa wale wote wanaopingwa na Lumumba kukiongoza! Anayesifiwa na Lumumba tayari amekosa sifa ya kuwa kiongozi wa Chadema..

Umenisoma???
 
CHADEMA Kuitoa CCM madarakani ni ndoto chini ya huyu mtu.Hapendi kabisa kukosolewa au kuulizwa jambo lolote linalohusiana na fedha au uvunjaji wa kanuni na katiba ya Chama.CHADEMA nilitaka sana uchukue utawala wa hii Nchi lakini naona hilo halitawezekana tena.I will have to think of my political position again,I will become an Independent I guess.

tutentemenke
 
Mkuu,

Kuna familia imewekeza pesa zake nyingi kuendesha shughuli za chama hiki. Ukiwaambia waachie uongozi utakuwa unatafuta ugomvi nao.

Chama cha wote kinajulikana.
​CCM chama cha mafisadi!
 
Usichokiona wewe au ni seme hivi unachojifanya kutokijua ni kuwa kuna watu wanatumia kigezo hicho cha demokrasia kutaka kupenyeza nia zao ovu za kukivuruga chama cha cdm.

Hata wakati wa mapambano ya kupinga siasa za ubaguzi wa makaburu wa SA. Makaburu walipenyeza mamluki wao ndani ya ANC kutaka kuvuruga juhudi za watu walio kuwa na nia njema ya kupinga ubaguzi.

Tofauti na cdm ANC wao walipomgundua msaliti adhabu yake ilikuwa ni kifo tu tena wakati mwingine kwa kuwa piga kiberiti.

Makaburu wa TZ ya leo ni hawa wanaotaka kuudhofisha mfumo wa siasa za vyama vingi nchini, lazima wananchi wasimame imara kuwapinga kwa nguvu zao zote. Kwani mfumo huu ni kwa manufaa yao.

Kinachotakiwa ni chama tawala imara kwa kutumikia wananchi na upinzani imara wa kuwa wajibisha chama tawala. Hajilishi nani ana tawala na nani mpinzani.

Muhimu kwa yeyote yule anayeitakia nchi hii mema ni wote, yaani wanao tawala imara na wapinzani wa wanao tawala imara na hii ni kwa faida ya nchi hii na watu wake.

Mungu ibariki Tz.
Ninakuelewa sana na unayoyasema nayajua kabisa. Hata hivyo uimara wa Chama ni kuwa na mifumo ya kuyashinda haya kidemokrasia na kiutawwala. Je uoni kuwa mtu anaweza kutumia haya haya kusalia kwenye madaraka au kuanzisha mfumo kandamizi. Huko nyuma TANU na CCM ilitumia uoga Kama huo kumlazimisha (au kumshawushi?) Nyerere kuendelea kutawala, mpaka alipobaini mwenyewe na kuamua kung'atuka.

CHADEMA ni shurti iweke mfumo wa kiutawala utakaowahakikishia Watanzania kuwa wanaochaguliwa kuongoza chama ni watu makini na hawatatumia nafasi hiyo kujibakiza madarakani. Hapa utawahakiishiaje watanzania kuwa wakishika dola hawatafanya haya haya na kutafuta sababu za kubakia madarakani? Watanzania kwa miaka zaidi ya ishirini sasa ndani ya mfumo wa vyama vingi wanaijua hizo mbinu za CCM au has mbinu za walioko madarakani, sasa nyinyi mkiingia kichwa kichwa kwa kutumia sababu hizo kuvunja demokrasia mnawatia wasiwasi zaidi.
 
Wewe huoni kuwa mfumo na sababu zinazotumiwa kumshughulikia mamluki hizo hizo zitatumika kuzuia wanaotaka kuvunja demokrasia wakati na hali itakapo kuwa muafaka.

Ngoja niiweke hivi tatizo lililoko sasa ni mamluki wanataka kukidhofisha chama si kukosekana kwa demokrasia. Na demokrasia ni kigezo kimojawapo kati ya vingi kinachotaka kutumiwa na mamluki kukidhofisha chama. Sasa wewe unataka mtu mwenye akili ashughulike na kipi kwanza?

Wakati huohuo kumbuka mamluki wanataka waitumie demokrasi kuendelea kuweka na kumarisha mizizi cdm.
 
Back
Top Bottom