Katika Wanasiasa vijana ninavutiwa nao sana hapa Nchini wewe Ben ni namba moja,Hakika una kipaji cha pekee na una great future ahead.Ninachokuomba kama unapata muda wa kuongea na Viongozi wako aidha Dr Slaa au Mbowe waambie wajaribu kubadilisha image ya Chama at least kwa kuweka mchanganyiko wa Viongozi wenye sura ya Kitaifa,Mwenyekiti atoke Kanda nyingine na Katibu atoke Kanda nyingine.Pia suala la Mwigamba wali-handle with a great care la sivyo litwaweka CHADEMA katika wakati mgumu mno kisiasa maana mpaka sasa hivi watu wanaiamini CHADEMA taratibu mno.Epukaneni kufanya maamuzi ya aina yoyote yale yatakayoonekana kuwa na chembe chembe za ukabila au ukanda.Be careful.
ndugu yangu..... hata mimi namkubali sana BEN SAANANE(he knows it) lakini hiyo kazi unayompa ni sawa na kumpa mwanafunzi wa chekechea INTEGRAL EQUATIONS.
HUYU DOGO NI MUHANGA KAMA WALIVYO VIJANA WENGI WA KITANZANIA WASIOTAMBUA THAMANI YAO,WASIOUJUA UWEZO WAO NA WASIOKUWA TAYARI KUSIMAMA KAMA WAO.
Matokeo yake ni kuabudu watu na kutumiwa mithili ya condoms and toilet papers then wanatupwa kwenye jalala.kwao wao, tanzania sio kitu cha muhimu na chadema ni TRIBAL OWNED GROUP ambayo haistahili mtu yeyote nje ya uchagani akawa na nguvu za kiushawishi,kwao wao ni afadhali CHADEMA kife kuliko watu toka makabila mengine kukiongoza.
wanadanganya wajinga(na wajinga hao wanadanganyika kweli) kuwa ETI wanauwezo wa kuchukua maamuzi magumu....... damn it, maamuzi gani magumu yanaowashukia watu wa aina fulani tuuu..!!!!!!!
watu kama huyu BEN na akina MNYIKA ni COWARDS wasiojiamin, wanaoabudu na kusujudia watu,waliokuwa tayari kutumiwa(condoms/toilet papers),wasioweza kusimama wenyewe, wasioweza kuongoza bali kuongozwa na wanaoteswa na wivu wa kishetani kwa vitu ambavyo hawawezi kuvipata(HUSDA)
NO WONDER THEY HATE ZZK.
And this is because all qualities that ZZK has, BEN/MNYIKA/LEMA and puppets are millions of miles away from having them.
ZZK preaches peace,hater preach violence
ZZK preaches solidarity, haters preach separation
ZZK preaches leadership,haters preaches dictatorship
ZZK fights corruption, haters promotes it
ZZK preaches good governance, haters brand him as a traitor
DAMN IT ...... you have every reason to hate him, you have every reason to FALL WITH CHADEMA and perish with it because you know that with him(ZZK), chadema will be unstoppable in near future and you will have to kiss his boots as your leader.
you don't want that to happen and you are ready to fall,perish and vanish with chadema if that means to make him(ZZK) PERISH.