nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Pamoja na hayo ni vizuri kuangalia ukubwa wa tatizo kwa wao kutamani hayo madaraka, kama kuna mtu anatamani madaraka na kazi anaiweza mwenyekiti atumie mbinu iwezekanayo ili kumridhisha kwa namna fulani ili mambo yaende, tuko vitani, sio wakati wa kutawanyisha kikosi kiholela..ni wakati wa kuunganisha kikosi.