Kamati kuu ya CHADEMA inawaogopa wanaowaita wasaliti?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,426
Reaction score
31,930
Adhabu ya msaliti ndani ya chama chochote ni kushighulikiwa kwa mijibu wa katiba ya chama hiko.
Leo tunapomsikia makamu mwenyekiti wa Chadema akilalamika kuwa kuna wasaliti ndani ya chama chake na kuchukua hatua ya kuhairisha mkutano wa baraza kuu forever inaakisi uwoga na kukosa machineries za kushughulikia waovu dhidi ya chama hiki.

kama sio janjajanja watajeni hao wasaliti na muwashughulikie.

Igeni mfano wa CCM ambayo haicheki na wasaliti
 
CCM haicheki na kina NCHIMBI haicheki na kina polepole haicheki na kina Kangoye haicheki na Dr urimboka Steven haicheki na kina Azory GWANDA haicheki na kina Mdude haicheki na kina SAA8 IPO SIKU YENU HAIKO MBALI MWISHO WENU HAUTAKUA MWEMA TANZANIA NI YA WATANZANIA HII SIO MALI YA WANA CCM .
 
rudi kwenye mada...
 
Adhabu ya msaliti ndani ya chama chochote ni kushighulikiwa kwa mijibu wa katiba ya chama hiko.
Leo tunapomsikia makamu mwenyekiti wa Chadema akilalamika kuwa kuna wasaliti ndani ya chama chake na kuchukua hatua ya kuhairisha mkutano wa baraza kuu forever inaakisi uwoga na kukosa machineries za kushughulikia waovu dhidi ya chama hiki.

kama sio janjajanja watajeni hao wasaliti na muwashughulikie.

Igeni mfano wa CCM ambayo haicheki na wasaliti
Iwaogope washenzi kama nyie kwa sababu ipi kwa mfano?
 
Adhabu ya msaliti ndani ya chama chochote ni kushighulikiwa kwa mijibu wa katiba ya chama hiko.
Leo tunapomsikia makamu mwenyekiti wa Chadema akilalamika kuwa kuna wasaliti ndani ya chama chake na kuchukua hatua ya kuhairisha mkutano wa baraza kuu forever inaakisi uwoga na kukosa machineries za kushughulikia waovu dhidi ya chama hiki.

kama sio janjajanja watajeni hao wasaliti na muwashughulikie.

Igeni mfano wa CCM ambayo haicheki na wasaliti
Hili jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kupost. Linatamani sana CHADEMA ipende wizi na rushwa kama CCM
 
Chadema iliwahi kumchukua Fisadi na kumfanya mgombea wake.
 
Back
Top Bottom