Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Haya yote uliyotaja na mengine mengi machafu kama ya kukatalia madarakani yako chadema.Nakile chama kinachoendeshwa kwa misingi ya rushwa na mwenyekiti wake wa taifa akiishia kulia lia bila kuchukua hatua mathubuti kinaitwaje vile?