yohana kaitira
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 258
- 240
Mbona hata Mimi Nina 28 na tayari ninavyo hivyo vitu tena na mke juu
And it's true nimemaliza first degree nikiwa na miaka 21, nikaunganisha kusoma Masters, kwa miaka miwili . Sasa hapo uongo uko wapi? Hesabu ndogo hivi zinakushinda
Nilitafuta ke wa kwanza kujibu nimekupata.It is possible km huna anasa anasa...kila weekend unajirusha...
Nilianza kazi at 23
Nikanunua kijishamba at 24
Nikanunua kigari with my very own money at 25 kwa kumake...(maana wanajamii/jirani walikua wachoyo sana na lift zao wananipita nikienda job[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16])
Swala la kujenga sikutaka kuwaza nikasema mpk nipate mwenza wangu tujenge wote...nisije kosa mume bure...lol...
Ukipunguza spending everything is possible...
ILA KIPINDI HIKI CHA MSUKUMA KILA KITU BEI JUU...SIJUIIIIII..KM
ITAKUWA SIMPLE...bandarini kwenyewe kodi juu lol
pia..jikune unapoweza..usiige watu
Sasa anakuaje senior lecture na Hans PhD bado chuo gani huko aiseeWaPo wengi sana..kuna mmoja amenunua gari ya Million17 from Japan tena ni Senior lecture wa Chuo kimoja hapa Tz na sasa anafanya Phd yake safi!
Wewe unasema hali halisi. Wengine mh!!!!mimi isingekuwa my extended family na shida nyingi hizi, basi hadi kufikia umri huo ningekuwa na gari na nyumba and more Nashukuru Mungu niliwahi kusoma na kupata kazi nzuri katika umri mdogo, nilimaliza my master degree at the age of 24. Nikapata kazi ya kunilipa mshahara mzuri sana at the age of 25, now nina miaka 27. Namshukuru Mungu napata mshahara si haba, nikijibana naweza nunua gari, nikajenga nyumba na nyongeza kabla ya kufikia 30. Lakini doo, mshahara ukitoka tuu unapukutika hatare, Umtumie bi mdashi home, shangazi sijui mjomba nini na nini basi najukuta naendelea kuwa maskini tuu bila kupenda. saivi ndo nipo nawajengea wazazi nyumba, nimalizanane nao ndo nianze kujijenga mimi.
Ukiwa muongo...... kiufupi hiyo ni chai tuSasa anakuaje senior lecture na Hans PhD bado chuo gani huko aisee
Unamvunja moyo kabisa [emoji3]25 ni kikongwe sana kwenye achievements ulizozitaja, unatakiwa uwe umeshamiliki bank yenye matawi sio ya nchi hii
Degree unayo?Njoo tuongee vizuri.
Degree unayo?
Sawa I'm comingNdio ninayo.
Sawa I'm coming
Umenikumbusha jirani yetu alikuwa anafukuza nyumbani watoto wa kiume baada ya kumaliza sekondari au la saba kama ukubahatika kuendelea, vijana wake wote wako very successful huwezi amini.Mm nilifukuzwa nyumbani nikiwa 19 yrs nikaowa wen i was 21 nikiwa na escudo bro nikahama bara zima la africa na wife nikiwa 26 yrs nimejenga kigamboni tuna watoto 2 na sijutii uamuzi wakuowa na changamoto zake she is all i needed in life and she has sharpen my mind get a wife utapata vyote .....and more