[emoji122][emoji122] basi kama ndo hivo u don't quality I this question cz hukukidhi vigezo vyoteNdo mana nimekuambia I was lucky, unlike others. Kila darasa nililopita i was the youngest student. Ndo mana natumia hii statement 'nilibahatika kuanza shule mapema '
WAGOSI WA KAYA Ft. AMARA - UPEPO SIO (NEW OFFICIAL VIDEO) via YouTubeWakuu naomba kuuliza hivi humu jamiiforum kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba.Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi..
Mimi nipo 18 ninavyo vyote pamoja na meliWakuu naomba kuuliza hivi humu jamiiforum kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba.Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi.
Nimeuliza hivi kwa sababu mimi nina miaka 25 na ndoto zangu ni kumiliki gari na nyumba kabla Sijaoa.Lakini kila siku zinavyo sogea naona ndoto inakua ngumu kutimia.
Nikipita barabarani au kwenye kumbi za starehe naona vijana wadogo wamepaki magari yao, basi roho yangu inaumia sana.
Hivi inawezekana kweli au ni ndoto za mchana hizi ninazo ota.
Usiseme Makonda. Sema Bashite bhanaWahi UKABEBE Unga...
Ila KUMBUKA Yupo Makonda..
Ngariba nioe 😉Ndio ninavyovyote hivyo na ni under 27.
Hata mimi nina cherehani zangu nne (4) hicho ni kiwandaTupo had wenye viwanda
Ngariba nioe 😉
[emoji122][emoji122] basi kama ndo hivo u don't quality I this question cz hukukidhi vigezo vyote
Tupo kibao.Wakuu naomba kuuliza hivi humu jamiiforum kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba.Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi.
Nimeuliza hivi kwa sababu mimi nina miaka 25 na ndoto zangu ni kumiliki gari na nyumba kabla Sijaoa.Lakini kila siku zinavyo sogea naona ndoto inakua ngumu kutimia.
Nikipita barabarani au kwenye kumbi za starehe naona vijana wadogo wamepaki magari yao, basi roho yangu inaumia sana.
Hivi inawezekana kweli au ni ndoto za mchana hizi ninazo ota.
Ligi bibie, hapo Ni typing errors, ok?Nimependa hiki kienglish chako hadi na mie nimetamani ningekuwa najua kingereza kama wewe, hongera uko vizuri kwenye hii lugha ya Malikia Elizabeth
Ligi gani?Acha lug
Ligi bibie, hapo Ni typing errors, ok?