Mbaga Lazaro
Senior Member
- Aug 9, 2020
- 132
- 107
Habari waungwana. Hebu Leo tushirikishane kidogo kuhusu dawa asili za uzazi wa mpango. Kiufupi jamii ya Sasa imekuwa ikijikita katika maswala haya ya uzazi wa mpango kwa kutumia njia za kisasa licha ya kuwa tafiti zinaonesha kwamba njia hizi zina faida ila madhara yapo pia.
Kwa kuzingatia uzoefu katika jamii je hazijawahi kugunduliwa dawa za asili za uzazi wa mpango na kama zipo hebu tu share uzoefu mana du isijekuwa majanga siku za mbeleni huko mana kama tafiti zinaonesha kwamba madhara yapo isijekuwa Kuna long-term effects ambazo zawazaonekana na zaweza kuwa mbaya zaidi as time goes.
Uwepo wa dawa asilia ungewezasaidia nusuru hali.