jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,108
- 35,935
Wazazi,walezi tuwakumbushe binti zetu jambo hili.
Kwa sasa ndoa nyingi sana zinapitia changamoto ya uzazi,hii ni kutokana mabinti wengi walitumia njia za uzazi wa mpango ama p2 kwa muda mrefu kipindi cha ujana.
Hii imepelekea mvurugikano wa homoni za kuchochea uzazi,kupatwa na magonjwa kama fibroids,kansa za kizazi,mvurugiko wa homoni n.k
Ewe kijana kama unatafuta mke wa kuoa na kukuletea familia epuka wanawake waliowahi kutumia madawa ya uzazi wa mpango hakika utateseka kupata uzao.
Enyi mabinti chondechode msitumie hayo madawa kama unalengo la kuwa na familia badae.
Wanawake wanene kupitiliza nao wana changamoto kubwa za uzazi.
Msije sema sikuwaambia.
Muwe na Jpl njema.