Kuna uhusiano gani kati ya uwepo wa jeshi la Rwanda Msumbiji na ziara za Mabeyo Rwanda

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,490
Najaribu kuunga dots kuwa huenda baada ya Kagame kupeleka wajeda wake kule Msumbiji ndio chanzo cha ziara ya siku kadhaa ya bwana Mabeyo pale Kigali

Mods tafadhali msiufute huu uzi maana hauna maudhui yoyote mabaya
 
Kaenda kumpiga mkwara dogo kwamba huku usiguse sana wakongwe tupo miaka kenda wa kenda huko hatuongei.
Maana wakimwachia huyo jamaa ataingia mazima na kumtoa itakua kazi ingine
 
Najaribu kuunga dots kuwa huenda baada ya Kagame kupeleka wajeda wake kule Msumbiji ndio chanzo cha ziara ya siku kadhaa ya bwana Mabeyo pale Kigali

Mods tafadhali msiufute huu uzi maana hauna maudhui yoyote mabaya
Samia umemsikia Jana kwamba Askari wetu wako Msumbiji au hukusikia? Shida ya Kagame matangazo kibao na Tanzania haitaki kelele kwenye Ugaidi
 
Kubadlshana taarfa za kiintelejinsia
Ilibainika kwamba wafadhili wa magaidi ya msumbuji watatu wapo Tanzania yaani wale financiers
Usije kushangaa ubalozi wa Iran unahusika na hii saga
NA IRAN ND INAMILIKI DENU LETU LA TAIFA
 
Back
Top Bottom