Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,469
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amefanya ziara hivi majuzi nchini Congo DR na kuingia mikataba mbalimbali na Rais Felix Tshekedi.
Mmoja ya mkataba muhimu ni ule wa ulinzi huku Kenya ikipewa kibali cha kupeleka jeshi Congo DR kuimarisha ulinzi mashariki mwa nchi hiyo.
Ikumbunwe mwaka 2013 Tanzania na Rwanda ziliingia ktk mgogoro wa maneno na pengine Vita vya kidiplomasia ambapo baadae ilifahamika chanzo ni hasira ya Rais Kagame kwa Tanzania kupeleka jeshi lake nchini Congo DR.
Pia Kenya imeahidi kufungua Ofisi ndogo za ubalozi huko Goma na Lubumbashi.
Je, Kenya ina agenda gani Congo? Rwanda itanyamazia hili au itaanzisha mzozo na Kenya?