Kuna uhusiano gani kati ya cable tow (hii kamba ya utambulisho wa Freemason) na Spiritual chills kwa watu ambao sio freemasonry

dj afro fan

Senior Member
Jan 16, 2017
103
74
Kuna uhusiano gani kati ya cable tow (hii kamba ya utamburisho wa Freemason) na Spiritual chills kwa watu ambao sio freemasonry.

Tafadhali soma hili na nisaidie kuelewa kinachotokea kwangu. Mimi kijana wenu wa kitanzania, nina hizi spiritual chills energy (nguvu za kiroho) ambapo watu wengine wanaweza kuzihisi wakati ambao nitakuwa karibu nao, mtu atasikia kaubaridi mwilini mwake.

Hali hii hupelekea watu wengine kunihusisha na Freemasonry, hujasoma vibaya wananiita freemason wakati mimi sio Freemason.

Baada ya kuona hivo nilianza fanya tafiti Google kuhusu hiz Spiritual chills energy zinauhusiano gani na Freemasonry, nikapata kujua hii inaweza kutokea kwa mwanachama wa Freemason anapofanyiwa mila za viapo ndo anaweza kuziamsha hizi nguvu za spiritual chills (sijui kiswahili chake) hapo ndo nimechanganyikiwa nakuamua kuja kwenu kuomba msaada lakini pia nimeisha enda kwenye Freemason Lodge ya (sitasema) ili nipate kupata habari zaidi kuhusu hili lakini sikufanikiwa kwani lodge siku zote imefungwa na mimi naishi mbali siwez enda kila siku.

Lakini pia cha ajabu zaidi kilichotokea kwangu baada kwenda kwenye hiyo lodge Mara kwa Mara ni hichi kitu kinachoitwa cable tow.

Nayo hiyo niliifanyia utafit ambapo niligundua hiyo ni kamba isiyoonekana kwa macho ya nyama Ambayo hutumiwa kutambua urefu wa Freemason mwenzako ambaye anaweza kuhitaji msaada.

Kiukweli Nimechanganyikiwa jinsi gani ninaweza kuwa na hiyo cable tow na hizo spiritual chills wakati mimi si freemason.

Ninahitaji msaada ili niweze kuwa na uwezo wa kujisaidia nafsi yangu.

Asante.
 
unajini wewe hakuna cha spiritual chills wala tow.

Wewe unaujuzi wowote kweli wa mambo ya Kimungu, unaakili ya kujua sifa za roho ? sifa za mwili ? mahusiano ya mwili roho na nafsi ya mtu ?

Unajua shetani anawezaje kuiteka Roho ya mtu ??

Unajua kuwa nguvu za kiroho zipo mbili, yani nguvu ya nuru na nguvu ya giza.

unajijua wewe unayo ipi kati ya hizo ?

Dogo husomi acha michezo.
 
Back
Top Bottom