Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,432
KinachokuchekeshaAhahahaha
KinachokuchekeshaAhahahaha
Sio uchochezi mpwa.. huyo jamaa MVP kwenye timu yetu.Uncle acha uchochezi
Oooh ulikuwa Ujana tu uncle, nishaacha hiyo fantasySio uchochezi mpwa.. huyo jamaa MVP kwenye timu yetu.
Afadhali, maana kurudisha mahari tuliokula ni uhafidhina na chuki chini ya ardhi. Ubarikiwe mpwa msalimie mama.Oooh ulikuwa Ujana tu uncle, nishaacha hiyo fantasy
Haha zimefika uncleAfadhali, maana kurudisha mahari tuliokula ni uhafidhina na chuki chini ya ardhi. Ubarikiwe mpwa msalimie mama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm n mfupi nyundo, Mweusi km mkaaa, Nina kitambii, Miguu yote ya kushotoo, vidole vyangu huku mbele km virungu km ushaonaga mtu anavidole km hivyo bas zidsha mara nne, SURA mods wakiniona wataremove ,mana km nimetoroka hifadh ya Gombe. Ova
Dah, hivi dada hujui kwamba kitambi ni utapia mlo. Pole. Atakufia mapema na Sukari, BP nk. na kukuachia watoto!Take care.mmh me napenda wafupiii afu awe na kitambi
Ndio engo zangu hizo, sema Madame amesha retire
YeahNdio engo zangu hizo, sema Madame amesha retire
Ila nikimuamulia hanitishi wala nini, hilo ni jungu kuu tu typically wahuni tunajua halikosi ukokoYeah
Nimemchukua maelezo naona yupo menopause now
Mmmh wewe wa tofauti ama nawe short moneytokmmh me napenda wafupiii afu awe na kitambi
Haha nakuaminia ninja.. sema nanii atasoma hapa sasa ongea taratibuIla nikimuamulia hanitishi wala nini, hilo ni jungu kuu tu typically wahuni tunajua halikosi ukoko
Ha ha ha ha ha eti antennaKama umemzidi Obama hayo sio masikio tena, ni antena hizo ndugu yangu