Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Wanaume warefu tuna confidence japo sio wote
Mkuu natoka hapa swala la confidence ni personal na wala halihusiani na heigh ya mtu

kuna watu wana miili na heigh za heshima lakini confidence zero kabisa na maamuzi hakuna kabisa mpaka huwa naseme hivi hawa hizo heigh na miili yao si boa hata wangenipa mimi maanake wanaiabisha miili yao

na kuna wengine wana height ndogo na miili midogo lakini hizo confidence walizonazo unawapenda tu automatically
 
Mr Suprize kwanza unapaswa utambue kuwa mapenzi ni upofu au wazungu wanasema love doesnt ask why kwa kinglishi

hivyo basi huenda analysis zako zimebase zaidi kwenye aina ya wadada ambao wanapenda for conditions jambo ambalo ni tatizo kubwa na ndo maana mahusiano ya siku hizi mengi ni halijojo as si wanaume wala wanawake tunaweka conditions nyingi mno in search of love na mara nyingi upendo unaoweka conditions hauwi imara na huwa haudumu in such.

kwa hiyo mleta maada research yako huenda iko sahihi kulingana na observation zako na aina ya watu tulionao kizazi cha sasa,vinginevyo hakuna uzito wala ukweli katika hilo as ukimpenda mtu kwa dhati mambo ya urefu na ufupi ni vitu vidogo sana kuuzuia upendo wako au kukuzuia kuwa na mtu huyo otherwise ndoa zote leo au baba na mama zetu leo wote wangekuwa ni baba warefu tu wafupi wangekuwa bachelous tu na ukumbuke kuna hao wanaojiita warefu ambao kawaangaalie baba zao ni wafupi sana tu lakini ndo hao hao wakatokeza hizo mbegu ndefu.
 
blog-471-copy.jpg
 
Habari wana MMU,

Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.

Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?

Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.
Kuna uzi ulikuwepo hapa jf unahusi vibamia kupewa nafc kubwa kwnye 6*6 naomba yule member aje aokoe jahazi wanaume wafpi wanashmbuliwa sana
 
Mpododo but also dwarfs are very stupid n sturbon [emoji779] [emoji779] [emoji779] my apology though [emoji25] [emoji25] [emoji25] for such a harsh truth/reality
Samahani natoka nje ya mada ila nataka nikushirikishe kuhusu hilo neno:
Siku ya Ijumaa Kuu nilikuwa kanisani (RC) kwa ajili ya ibada ya Ijumaa Kuu, kabla ya ibada kuanza nikiwa nje ya kanisa na mke wa Katekista, mara watoto wake wakaja wamebeba katoto kajirani yao, kamepakwa wanjwa na shedo kibao! ghafla mama katekista akasema "heee nakuona rafiki yangu umepaka MPODODO" ila bahati nzuri pale hakuna aliyefikiria hilo neno kama linatumika vipi, basi na waumini wengine wakadakia " eee kweli kamepakwa MPODODO haswaaa"
sasa mie CHIKIRA MTABARI ninayeshindwa JF kutwa nzima na ninayejua matumizi na maana ya hilo neno, ilibidi nisogee hatua chache kutoka pale alipokuwa mama katekista, hahahahaahaha
 
ukitaka uonekane unajiamini ,uwe una-date na mademu waliokuzidi urefu tena sana..
 
Samahani natoka nje ya mada ila nataka nikushirikishe kuhusu hilo neno:
Siku ya Ijumaa Kuu nilikuwa kanisani (RC) kwa ajili ya ibada ya Ijumaa Kuu, kabla ya ibada kuanza nikiwa nje ya kanisa na mke wa Katekista, mara watoto wake wakaja wamebeba katoto kajirani yao, kamepakwa wanjwa na shedo kibao! ghafla mama katekista akasema "heee nakuona rafiki yangu umepaka MPODODO" ila bahati nzuri pale hakuna aliyefikiria hilo neno kama linatumika vipi, basi na waumini wengine wakadakia " eee kweli kamepakwa MPODODO haswaaa"
sasa mie CHIKIRA MTABARI ninayeshindwa JF kutwa nzima na ninayejua matumizi na maana ya hilo neno, ilibidi nisogee hatua chache kutoka pale alipokuwa mama katekista, hahahahaahaha
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila rekebisha hapo kwenye kushindwa ni Kushinda naamini
 
Back
Top Bottom