Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Mwanaume mlefu raha Sana kwanza hua tunapenda tunapowaangalia tunavyonyanyua shingo juu pili tunajifeel secure tunapokuwa na wanaume walefu especial akikukumbatia it feels good kwa kweli wanaume hamtanielewa tatu Mkiwa mnatembea wote barabarani unakuwa na confidence huoni aibu hata kidogo hayo ni machache yupo mengi mnoo
Ukitembea na mengi hujiamini?
 
Kumbe ndo maana ,wasichana wanapenda wanaume warefu
 
Nikionaga mwanaume mrefu alafu hachezi basketball wala hayuko interested kabisa na basketball, yaani yeye eti urefu wake ni kwa ajiri ya kuwavutia warembo na ndicho anachojivunia kwenye huo urefu wake......asee huyo mimi namuona kama wasted resource.
 
Jamani mnatoa siri za wenza wetu tukichangia humu nymbn kutakalika[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kama una mke mfupi lazma ni mkorofi, ana gubu, anapenda kununa
 
Mwanaume mlefu raha Sana kwanza hua tunapenda tunapowaangalia tunavyonyanyua shingo juu pili tunajifeel secure tunapokuwa na wanaume walefu especial akikukumbatia it feels good kwa kweli wanaume hamtanielewa tatu Mkiwa mnatembea wote barabarani unakuwa na confidence huoni aibu hata kidogo hayo ni machache yupo mengi mnoo
Exactly
 
Urefu una faida zake... We mtu mfupi utamsaidia nini mlimbwende toka MBAGALA na shida ile ya usafiri, unao ubavu wa kumpitisha kwenye dirisha la DCM apate seat.
Acha wenye kimo kuelekea juu waendelee kufaudu, maomolo endeleeni kua ma stedi shoo wa BAKUBA EMPIRE mbona mlifiti sana.
 
Back
Top Bottom