Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Wanaume warefu kiukweli wanavutia sana jamani...
Awe ameenda hewani, halafu kavimba flani hivi na kitambi cha kufutia simu daaah
 
3cb624945e6c78cc21b8f6e37675d575.jpg
[emoji4] [emoji4] [emoji7] .alaf nipo single
 
kwani wafupi wameumbwa na nani Jamani??? MTU hawezi kuwa mrefu bila kujilinganisha kwa mfupi kwa hiyo uwepo wa wafupi ndo kundi LA warefu linapatikana Tusiwaonee wafupi
 
There you go Mr Suprize what mattes ni tabia na sifa za huyo unayetaka uwe naye basi

mfano mimi binafsi Mr Suprize nafikiri maswala ya eiza urefu au ufupi au six packs hayana nafasi kwangu,to me mwanaume means a lot na kuna mambo ambayo nikiona mwanaume anafanya au anabehave in that way kiukweli am turned on na najikutatu nampenda mfano napoona mwanaume ni caring ana confidence ana uwezo wa kusimama mbele za watu akajielezea au kutetea hoja zake bila kuhofia chochote like Tundu Lissu,loving hekima thats enough to me.

Nilipokuwa high level niliwahi kusoma na mkaka mmoja shotiii lakini confidence aliyokuwa nayo was amazing kiasi i felt like i could fall for him if i needed to.

Lakini hivi karibuni nimekuwa namwona mkaka fulani hivi mitaa fulani mkaka ni amazing kwa kweli kaenda hewani ana six packs za kutosha na kila nguo anayovaa inamkaa vizuri sana lakini hivi karibuni nimepata nafasi ya kumwona kiukaribu na kujua behavious zake,yaani ni kichefu chefu mtoto mdogo akasome yaani hafai kwenda wala kurudi,huyu hata nipewe bure simtaki na urefu wake namtaka yule shoti nliyesoma naye high level coz i feel safe with him.

so as for me what matters ni je una sifa na tabia za kiume?au ndo una maurefu tu afu umejaza makorokocho kichwani?
ukiwa na tabia na sifa za kiume navutiwa rahisi zaidi kuliko ukiwa mrefu afu una tabia kama zangu.
serious kinachomata zaid ni tabia ,, mengine ni ziada tu
 
Uuuh I see. Basi enzi zangu nikiwa binti, mkaka kama unacheza basket utakuwa best angu sana. Nilikuwa naassume wakaka wote wacheza basket ni warefuuuu na mahandsome Hahaa

Teh...teh...unajua huu mchezo wanao ucheza wengi ni mabishoo hata ukiangalia mavazi yao zile singlendi kubwa nini zimekaa kitozi sana tena wakitupia na zile rebon kichwani alafu ukite njemba imesuka au imenyoa timberland vizuri basi ndio amekumaliza kabisa, ndio maana wanaonekana mahensamu.

Alafu mimi najuaga wewe bado ni binti eti kumbe sio.
 
Teh...teh...unajua huu mchezo wanao ucheza wengi ni mabishoo hata ukiangalia mavazi yao zile singlendi kubwa nini zimekaa kitozi sana tena wakitupia na zile rebon kichwani alafu ukite njemba imesuka au imenyoa timberland vizuri basi ndio amekumaliza kabisa, ndio maana wanaonekana mahensamu.

Alafu mimi najuaga wewe bado ni binti eti kumbe sio.
Haha wacha weeeee. Afu kuna ile design mnabeba mipira mkononi kwa poziiiii, basi me nakufwaaaz.

Mmh mwenzangu ubinti ulishanikataa kitambo teh
 
Back
Top Bottom