Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,259
- 866,598
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji144] [emoji779] [emoji779]ukitaka uonekane unajiamini ,uwe una-date na mademu waliokuzidi urefu tena sana..
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji144] [emoji779] [emoji779]ukitaka uonekane unajiamini ,uwe una-date na mademu waliokuzidi urefu tena sana..
aisee we endelea tu na mambo yako mengine mkuu, maana sio kwa ufupi huo😀Mimi nina cm 165 na mie nipo au niendelee na mambo yangu mengine
exactly umenena! ila ukupitia vizuri Uzi huu utakubaliana na Mimi kuwa wanaume warefu ni chaguo LA wanawake walio wengi.Mr Suprize kwanza unapaswa utambue kuwa mapenzi ni upofu au wazungu wanasema love doesnt ask why kwa kinglishi
hivyo basi huenda analysis zako zimebase zaidi kwenye aina ya wadada ambao wanapenda for conditions jambo ambalo ni tatizo kubwa na ndo maana mahusiano ya siku hizi mengi ni halijojo as si wanaume wala wanawake tunaweka conditions nyingi mno in search of love na mara nyingi upendo unaoweka conditions hauwi imara na huwa haudumu in such.
kwa hiyo mleta maada research yako huenda iko sahihi kulingana na observation zako na aina ya watu tulionao kizazi cha sasa,vinginevyo hakuna uzito wala ukweli katika hilo as ukimpenda mtu kwa dhati mambo ya urefu na ufupi ni vitu vidogo sana kuuzuia upendo wako au kukuzuia kuwa na mtu huyo otherwise ndoa zote leo au baba na mama zetu leo wote wangekuwa ni baba warefu tu wafupi wangekuwa bachelous tu na ukumbuke kuna hao wanaojiita warefu ambao kawaangaalie baba zao ni wafupi sana tu lakini ndo hao hao wakatokeza hizo mbegu ndefu.
haaaha!! aisee saiz Niko vizuri, hata hivyo nipo mbioni kuandaa Uzi utakaohusu njia nilizotumia kupata suluhisho LA tatizo soon nitauweka kule, ila nawashukuru jf doctors wote nifikishie salamuDaaaa wewe Mr suprize ulitusumbua sana kule jukwaa la doctor, kwa masuala ya kushindwa kusimamia shoo vizuri, naona sasa hivi uko vyema
Mr Suprize unapenda a woman of your deams aweje? Ni mara ngapi ushafall in love crazily? Je mara zote ulipofall ulifall kwa yule mwenye vigezo vyote unavyotaka?exactly umenena! ila ukupitia vizuri Uzi huu utakubaliana na Mimi kuwa wanaume warefu ni chaguo LA wanawake walio wengi.
HahahaaasKuna raha mwanaume anakukiss mdada unanyanyua shingo au ata kusimamia vidole kumfikia... Sio nianze kuinama nimfikie mkaka...
ila waongo haoha ha haaaa kidogo wewe muelewa mkuu
Mnafurahi sana eheeKuna raha mwanaume anakukiss mdada unanyanyua shingo au ata kusimamia vidole kumfikia... Sio nianze kuinama nimfikie mkaka...
We acha tuHahaha cc wakina andunje kwaiyo tubaki nahamuzetu
kuna vingi sana navipenda kwa mwanamke Wa dream yang, ila kiufupi sana awe mcha Mungu.. unajua kama MTU ni mcha Mungu hawezi kukuigizia katika Mapenzi, kama hakupend kmapenz atakutell tu kwamba "sorry nna MTU mwngne nakuomba uangalie mwngne" maneno km haya hayawez kumchosha mwanaume,,, Mcha Mungu atakujal,atakushaur,atakuwa mkwel daima, atakusikiliza na kukuvumilia kwa kila hal, ,,, na ucha Mungu naozungumzia hapa sio kwenda kanisan/msikitini kila ibada, au kukaa bench la mbele karibu na pastor, au kukemea mapepo, au kubeba mikonon Quran /bible...uchaji Wa Mungu naozungumzia hapa ni matendo anayoyafanya nje ya nyumba za ibada, I think umenielewa ....Mr Suprize unapenda a woman of your deams aweje? Ni mara ngapi ushafall in love crazily? Je mara zote ulipofall ulifall kwa yule mwenye vigezo vyote unavyotaka?
mmh basi me mwenzio nimebahatika mkuuila waongo hao
Ohooooo sasa sisi ambao sio warefu na wala sio wafupi mnatuchukuliaje??Kuna raha mwanaume anakukiss mdada unanyanyua shingo au ata kusimamia vidole kumfikia... Sio nianze kuinama nimfikie mkaka...
Sawa bhana hata username yako inasadifu hilo.pesa ndo kila kitu mkuu, hata uwe mtefu kama hashim thabiti na huna hela hakuna mrembo atakayekushobokea ! always moneytalk