Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Enzi za kale wanaume warefu ndio waliokuwa na uwezo mzuri wa kuona mbali kutetea familia na maadui,pia urefu ulikuwa unaendana na uwezo mzuri wa kupigana.

Kwa hiyo katika ubongo wa binadamu mpaka leo kuna mabaki ya evolutionary instincts zinatuambia kwamba watu warefu ndio wazuri na wenye akili.

Kuna mtu mmoja alifanya utafiti kuangalia viongozi wa makampuni makubwa Marekani, akakuta asilimiakubwa sana ni warefu. Kisaikolojia ukikaa na mtu mrefu tu unavyomuangalia tayari ni psychological advantage kwake.

The Wall Street Journal waliiandika hii habari hapa Want to Be CEO? Stand Tall.

Malcolm Gladwell naye alishaandikahizi habari, soma hapa Why Do We Love Tall Men?
 
Tangu nianze kupenda na madem sijawahi kujua hiyo siri..kumbe urefu una changia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mpododo but also dwarfs are very stupid n sturbon [emoji779] [emoji779] [emoji779] my apology though [emoji25] [emoji25] [emoji25] for such a harsh truth/reality
U made my day..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji108] [emoji108]
 
Back
Top Bottom