Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

mmh!!,
ingekuwa hivo,Leo hii mzee mengi,manji na mzee bakhresa,wangekuwa na masixipaki kushinda hata sisi vijana wa kileo wa kizazi cha fb,insta na Snapchat.
Kwani hao uliowataja ndiyo wenye pesa tu mkuu?
How bt domo! Sarkodie! Pddy! Dre A jack Ma! Jaguar mkenya!

Umenikumbusha mtu mmoja alinambia watoto wa kishua huwa hawafaulu.

Sasa kwenye kusoma kuna mtoto mmoja wa kishua alikuwa kichwa... pesa zipo... ana body nzuri... ni HB... ana swagger haha... Nwei inategemea ntu na ntu
 
To be honest,wanaume warefu wanaonekana powerful,yani nkiwa close to a tall man,I feel protected.Its a good feeling.I prefer taller guys.
Ila all in all mwisho wa siku love wins.Wanaume wafupi wengi ndo wana Tabia wanazopenda wanawake.Mfano wanaume wengi warefu sio wacheshi.
Kwa hiyo kuna uwezekano hata huyu.member anayetumia jina la daby ni kafupi sana au sio ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata Mimi napenda nimzidi mwanamke urefu.kidoogo.nimuangalie kwa kuinamisha kichwa.inanipa kujiamini zaidi.sio mwanamke mreefu.ukizingua atakutia makonzi.na cha kumfanya hauna
 
Mwanaume mlefu raha Sana kwanza hua tunapenda tunapowaangalia tunavyonyanyua shingo juu pili tunajifeel secure tunapokuwa na wanaume walefu especial akikukumbatia it feels good kwa kweli wanaume hamtanielewa tatu Mkiwa mnatembea wote barabarani unakuwa na confidence huoni aibu hata kidogo hayo ni machache yupo mengi mnoo
 
Kwanza asikudanganye mtu, wanawake karibu wote wanapenda wanaume warefu. Hataka anawaponda mbele yako, wewe mcheki reaction akimuona au akisalimiana nae, tofauti na mtu mfupi. Nilidhania in normal behavior kwa vijana, lakini wapi; nilikuwa na mmama mmoja akapita jamaa fulani tall, nikasikia tu 'kapanda alafu mzuri'. Nikajichekesha tu. This happened more than once.

Wanawake wengi hufikiria kuwa urefu = urefu wa penis. Kama wewe mfupi ujue kuwa machine fupi. Mwenyewe my girl aliniambia naogopa wanaume warefu kisa wanaweza kunitoa kizazi. Duh tuligombana after. You know why eheheheh. Pili, urefu = confidence also strength. Its nature. Hata wanyama pia uchagua dume lenye nguvu maana it means mbegu bora. That's how a woman's brain is wired. Urefu means protection, anajiona analindwa, sasa piga picha wewe mwanamke alafu unamzidi urefu mume wako, obviously utajiona wewe ndo mlinzi[emoji3] .

Appearance, inapendeza sana kama mwanamke akiwa mfupi, alafu mwanaume mrefu. Na hata wanawake wanapenda kushowoff kwa mashoti kuwa anamume mzuri. Kumbuka Urefu=beauty. Rejea Rwanda genocide. Mwanamke hupenda akiwa anamkiss mume wake awe anasimamia vidole na kichwa kiwe kinaangalia juu[emoji3] [emoji3] .

Naona watu wengi wanasema wanaume wafupi wasumbufu na wana mind vitu ovyo. In my experience naona wanaume warefu ndo maplay boy acha. Since they can easily get any girl they want. On the other hand wanaume wafupi wana game sio ya nchi hii. Overall mrefu haitaji maneno mengi kumuimpress mwanamke.

Conclusion:
Mwenyewe nipo kwenye kundi la wafupi. Ebwana nikuambie kitu, nikitembea na marafiki zangu warefu, wasichana hawaniangalii Mara mbili. Nikitaka attention inabidi Nipige mdomo. Wenzangu warefi kimya ila madada wanajigonga tu. Kingine, wasichana warefu pia wanavutia ila mimi siwezi kumtokea msichana anaenizidi urefu. Personal taste. Bora nilingane nae au awe mfupi. Kizuri Africa wafupi wanafigure no 8 ya ukweli[emoji3] [emoji3] [emoji3] (babe wherever you are nakupa sifa). Ushauri wangu kwa wanaume wafupi, kama swagger zero, piga kitabu, piga kazi, tafuta hela. Watajileta.

Sorry for the essay, ningesema this is my two cents but acha niseme its my $1[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

-callmeGhost
Ghost umetisherrr, sio kwa essay hiyo..points tupuu
 
Ni kweli kabisa wanaume wanaoongoza kwa umalaya wengi wafupi alafu wanapenda sana wanawake wenye misambwnda ,nawapenda sana walefu wengi ni wastalabu na wasikivu wanajua kujali wanaheshima.
Dah, yan agata umenigusa km unanifahamu....nina hzo cfa zote ulizotaja hapo[emoji4]
 
Kweli wadada mnapenda waliopanda hewani ila huo ni ubinafsi maana hakuna mateso kwa mwanaume kama ku hug msichana ambaye ni lazima uiname kwanza. Au mtu hata haenei mwilini chembamba------
 
Mwanaume mlefu raha Sana kwanza hua tunapenda tunapowaangalia tunavyonyanyua shingo juu pili tunajifeel secure tunapokuwa na wanaume walefu especial akikukumbatia it feels good kwa kweli wanaume hamtanielewa tatu Mkiwa mnatembea wote barabarani unakuwa na confidence huoni aibu hata kidogo hayo ni machache yupo mengi mnoo
Na ufupi wa Diamond vip?mbona anamiliki bosslady,nyie wa uswahilini njaa kali mnakua na nyodo.
 
Mimi mrefu Nina futii 6.8 ila mbona sipendwii? Poor research
Pole urefu wako utakuwa ni ule urefu usiokuwa na mvuto unakuta unamilonjo milefuuu alafu hujui kuvaa unavaa vikaptula na vitishet vile vya rangi moja chini makobazi unakuwa Kama wale wanaliaza wa Kenya hebu jalibu kubadilika mkuu utakuja kusimulia jinsi watto wakali wanavyo kusumbua mtaani
 
me mrefu mbn sijawah shobokewa [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
Na ufupi wa Diamond vip?mbona anamiliki bosslady,nyie wa uswahilini njaa kali mnakua na nyodo.
Aliyekwambia diamond mfupi kwa boss lady ni nani mond kwa zari ni mlefu mno hata wakiwa wanatembea inavutia hebu nenda insta kachungulie picha zao insta alafu uje unipe mlejesho by the way mbona povu linakutoka mkuu bila Shaka na ww utakuwa andunje
 
Back
Top Bottom