Kuna ombwe juu ya chanzo chetu na ulimwengu!

ukikubali muumbaji yupo linazuka swali lingine lisiloisha la nani kamuumba huyo muumbaji unayemuamini wewe.
Mbona Law ya kwanza ya thermodynamics tunaikubali kwamba energy haitengenezwi wala kuharibiwa, mbona hii hatuhoji hiyo energy ilitoka wapi
 
Jizime data tu upuyange kwa amani maana hatuiishi milele badala ya kupoteza muda kutafuta na kujua huu ubatili wa maisha….
 
Huenda usiite Mungu ukaita unavyotaka wewe lakini haiondoi hoja kwamba ujuzi mkubwa sana unahitajika ili kuunda Mifumo mbalimbali tuliyoikuta kwenye ulimwengu,......

Kwa mtazamo wako, Utaita vipi yule/kile kilicho nguvu ya kiakili (the genius mind/force) nyuma ya mpangilio na utaratibu ulioundwa kitaalamu unaoonekana katika huu ulimwengu? Kwa sababu kwa namna ulivyo, ulimwengu hauonekani kuwa umetokea kiholela bila ujuzi mkubwa kutumika......

Kwa mfano inaonyesha akili kubwa sana inahitajika ili kuunda mifumo mbalimbali ya viumbe hai kuanzia upumuaji, mwendo, kuzaliana na kadhalika, mifano haihesabiki,.........
Evolution na laws of physics haviwezi kuwa vimehusika na sio intellegent creator?
 
Mbona Law ya kwanza ya thermodynamics tunaikubali kwamba energy haitengenezwi wala kuharibiwa, mbona hii hatuhoji hiyo energy ilitoka wapi
Ukikubali energy haitengenezwi hakuna contradiction, ukisema ilitoka wapi ni sawa na kusema tu energy can be created
 
Kuna kitu wamejua kuwa kuna nguvu ambayo hawajui imetokea wapi wakaamua kuiita
Dark Energy 😂

1756326363985.jpeg
 
Ukikubali energy haitengenezwi hakuna contradiction, ukisema ilitoka wapi ni sawa na kusema tu energy can be created
kama energy haiwezitengenezwa ina maana haina chanzo sio ndio haiwezi haribiwa tunamanisha haina mwisho. Hapo hakuna makosa
Ila tukisema God hana chanzo wala mwisho hapo contradiction zinaanza kutokea sio
 
What is God? Anaweza au inaweza kupimwaje au kuthibitishwaje?
 
Energy ina vyanzo mbalimali kama jua, upepo, maji, geotheremal, uranium, makaa ya mawe, mafuta, gas n.k
 
Usitengeneza picha ya mungu kama anamikono na miguu, we tengeneza picha ya nguvu kubwa isiyo na chanzo wala mwisho na iliyohusika na kila kitu kwenye ulimwengu
 
Hzo ni forms za energy ni kama na kusema mungu yupo kila mahali yupo moyoni mwako yupo kwenye galaxy yupo kila sehemu
 
Huu mjadala nitahitaji ukae hivi mapema kabisa ili niweze kueleweka kabla sijagusia kitu chochote!.

Maswali mengi tunayojiuliza na hatujapata majibu mpaka sasa juu ya chanzo cha ulimwengu na chanzo chetu!, ni kwasababu kuna kitu ama vitu hatujavijua bado!.
Sina hakika sana kama tutakuja kuvijua ama tusivijue hivyo mijadala ya mabishano juu ya imani za Uungu itaendelea kuwa pambe siku hata siku mpaka pale kanuni kadhaa zitakapokuja kugundulika!.

Nimeamua nianze na hitimisho ili nieleweke kwa wepesi sana!.

Nikianza na nadharia ya uumbaji inakosa majibu maana haionyeshi nani ni wamwisho ambae ameanza kuumba kila kitu!, kwani kanuni hii itamtaka nae alieumba kuumbwa! so haileti tamati ila tu italeta tamati kama kutakuwa na muingiliano wa kanuni yoyote tusiyoifahamu ambayo itakuwa na majibu!.

Mtazamo wa Uungu kwangu mimi binafsi unazidi kudidimia siku baada ya siku haswa nikiangazia mambo kadhaa ambayo yanaleta mkanganyiko aidha juu ya uwepo wake ama nadharia hii inabaki kwenye ombwe lilelile lisiloleta majibu stahiki!.

Nikitazama kati ya hivi vitu vitatu ndio naona ombwe kubwa zaidi na naona imeshinda akili yetu kwasasa (sijui kwa baadae), vitu hivyo ni muda, space (nafasi), nguvu(energy) na akili!.

Ukianza kuzungumzia mwanzo wa ulimwengu ni ngumu sana kuvitenganisha hivyo vitu maana kila kitu kinamuhitaji mwenzake naweza kusema kama ni sarafu basi hiyo ni sarafu yenye pande zote hizo!!!.
Inaonyesha kabisa mpangilio hapa ulimwenguni umekaa ki intelligent yani kunalazimika kuwe na akili ili vitu vienende kama vilivyo!, hapohapo nguvu inaingia kwani akili bila nguvu haiwezi kufanya kazi na nguvu bila akili haiwezi kuenenda ama kukaa kwenye mpangilio na hivi vyote haviwezi kupata muda wakufanya hivyo kama hakuna nafasi(space).

Mpaka hapo inakuwa ni ngumu sana kujua nini kilianza na kilianzaje na hata kama vilianza kwa pamoja basi vilianzaje anzaje sehemu isiyokuwa sehemu na vilitokea wapi sehemu ambapo hakuna sehemu!.
Ama naweza kuiweka hivi "Ni kivipi kitu kitokee sehemu ambapo hakuna sehemu na kwanini..?"

Moja kati ya kitu nilichokuja kugundua kwenye ufahamu wetu ni kuwa "Binadamu mara nyingi huwa tunawaza kile tunachokijua na ndio mara nyingi tunatolea bunifu zetu kwenye hivyohivyo vitu tunavyovijua!, Hivyo kutokana na ugumu huo ndio maana bado tupo kwenye ombwe lakushindwa kuelewa nini chanzo cha ulimwengu!.

Kwasababu gani..?
kwasababu hii hatujui hata kama tunauliza swali sahihi ama sio sahihi (chanzo cha ulimwengu ni nini..?) kwa tafsiri yetu inaweza ikawa ni sahihi maana kwa mazingira tuliyopo yametupelekea kuwaza kuwa kila kitu kuwa na chanzo lakini usikute kwenye kanuni za ulimwengu si lazima kila kitu kiwe na chanzo!, na sasa je kama hakina chanzo basi kina nini..? sasa hili ndio ombwe lenyewe ambalo hatulijui tunabaki tunagaagaa kama kidudu kilichopotea tundu lake!.

Najua ni ngumu kuwaza kitu kisichokuwa na chanzo ama kanuni ambayo haileti chanzo!, kama nilivyoandika hapo juu kuwa akili zetu mara nyingi haziwazi vitu tusivyovijua yani ni ngumu sana kuwaza kitu ambacho huna past nacho!. hata nikikuambia uwaze kuhusu kiumbe hai mpya mwenye kanuni nje na hizi tunazofahamu utajikuta unawaza kiumbe mwenye macho, pua, mdomo n.k yani bado yale mazingira yatakuandama maana ndicho unachokijua!.

Sasa tunafikaje huko tusipopajua..?
Sioni njia nyengine isipokuwa njia ni moja tu "tafiti!". ulimwengu ni kama kitabu ukiamua ukifunue na ukiamua ukifunike!, ila akili ya binadamu huwa haina chakufunika huwa inafunua basi kufunua kitabu huwa ni asili yetu shida ipo kwenye kusoma na kuelewa tu!.

Najua kwa miaka nenda rudi vitu vingi vimegundulika vimezua mijadala na kuibua fikra nyingi na mpya!, na vilevile vimezua imani ila bado havijaleta majibu makuu ya yale tunayoyataka kuyafahamu!, bado kiu hakijakatwa hakuna Mungu ama nadharia yoyote ya Uungu iliyoleta majibu yakujitosheleza juu ya kinagaubaga wa nini chanzo cha ulimwengu...?

Hivyo basi mpaka hapo sitakuwa nachakuongeza ama kupunguza!, ombwe hili ni lilelile isipokuwa nimeona majibu sehemu ambapo hakuna jibu maana penye majibu hapana majibu nafikiri ni wakati wakutazama nje ya box, ahsanteni.
Ujue at some point nikikaaga mwenyewe naoganga sisi na ng'ombe ni the same tuu sema tuu tuna kujielewa kidogo(KWA Tanzania when I say kidogo I mean)&brain nerves kidogoo zimeongezeka hasa kwa mfano mtu kama.....😆tofauti yake na ng'ombe ni nini
 
Usitengeneza picha ya mungu kama anamikono na miguu, we tengeneza picha ya nguvu kubwa isiyo na chanzo wala mwisho na iliyohusika na kila kitu kwenye ulimwengu
Wanasayansi wengi wanasema hawana mjadala mrefu sana na watu wanaoamini hivi unavyosema wewe(wanaoamini mungu wao ni energy ambayo haiwezi kutoa amri kumi, kuamuru makafiri wauwawe, watu wasile kitimoto, kuwaahidi kuna maisha baada ya kifo n.k) mjadala wao mkubwa ni kwa watu wanaoamini (personal god)mungu kama wa Wayahudi, Wakristo, Allah wa waislamu n.k aliyeuumba ulimwengu kwa siku sita na akakiumba kila kiumbe na kila kitu kwa ukamilifu wake.
 
idea ninayoipenda ni ile ya time kama duara tunazunguka hapo, kuna msemo niliona kwa kiranga alisema vipi kama A ikawani chanzo cha B, na B ikawa chanzo cha A, tunaanza na effect kisha cause, kama movie ya Tenet au interstellar kama ushaziona.
 
Usi picture mungu wa kwenye vitabu vya dini, picture energy illiyoanzisha ulimwengu, siyo lazima kitu kiwe na characteristics za kiumbe ndio kiwe conscious kama particle zinauwezo wa ku behave tofauti kwa nini kusiwe na energy inayoweza ku behave tofauti
Tume exist tu kama uyoga
 
idea ninayoipenda ni ile ya time kama duara tunazunguka hapo, kuna msemo niliona kwa kiranga alisema vipi kama A ikawani chanzo cha B, na B ikawa chanzo cha A, tunaanza na effect kisha cause, kama movie ya Tenet au interstellar kama ushaziona.
Nimeziona hizo movies, ila hiyo Tenet ilibidi kuingalia mara mbili kuweza kupata angalau idea kidogo.
 
Mi nimeona mara tatu ila bado sijaelewa vizuri, hasa stori ya yule msichana ndio inachanganya sana
 
Mh! ustaarabu hukuwa sambamba na elimu itakuwa tabu elimu ikikuwa halafu ustaarabu ni sifuri hapo shida ndo itakuwepo na ukishakuwa na elimu basi ustaarabu muhimu alasivyo itakuwa haina maana ya elimu kama hakuna ustaarabu!..
Vyanzo vingi vya kale vinaonesha kuna hatihati ya dunia iliwahi kuwa na ustaarabu wa hali ya juu pengine kuliko sasa, kupitia ushahidi wa michoro na maandiko mbalimbali kutoka kwa wakermit inatoa ushahidi juu ya hili.

Na kama hivyo ni ndivyo basi kuna possibility kubwa ya sisi kutokua first generation na kama hivi ndivyo basi hiyo mantiki ya kujikaanga wenyewe inaweza ikawa na mashiko kinamna fulani 😅😅
 
Huu mjadala nitahitaji ukae hivi mapema kabisa ili niweze kueleweka kabla sijagusia kitu chochote!.

Maswali mengi tunayojiuliza na hatujapata majibu mpaka sasa juu ya chanzo cha ulimwengu na chanzo chetu!, ni kwasababu kuna kitu ama vitu hatujavijua bado!.
Sina hakika sana kama tutakuja kuvijua ama tusivijue hivyo mijadala ya mabishano juu ya imani za Uungu itaendelea kuwa pambe siku hata siku mpaka pale kanuni kadhaa zitakapokuja kugundulika!.

Nimeamua nianze na hitimisho ili nieleweke kwa wepesi sana!.

Nikianza na nadharia ya uumbaji inakosa majibu maana haionyeshi nani ni wamwisho ambae ameanza kuumba kila kitu!, kwani kanuni hii itamtaka nae alieumba kuumbwa! so haileti tamati ila tu italeta tamati kama kutakuwa na muingiliano wa kanuni yoyote tusiyoifahamu ambayo itakuwa na majibu!.

Mtazamo wa Uungu kwangu mimi binafsi unazidi kudidimia siku baada ya siku haswa nikiangazia mambo kadhaa ambayo yanaleta mkanganyiko aidha juu ya uwepo wake ama nadharia hii inabaki kwenye ombwe lilelile lisiloleta majibu stahiki!.

Nikitazama kati ya hivi vitu vitatu ndio naona ombwe kubwa zaidi na naona imeshinda akili yetu kwasasa (sijui kwa baadae), vitu hivyo ni muda, space (nafasi), nguvu(energy) na akili!.

Ukianza kuzungumzia mwanzo wa ulimwengu ni ngumu sana kuvitenganisha hivyo vitu maana kila kitu kinamuhitaji mwenzake naweza kusema kama ni sarafu basi hiyo ni sarafu yenye pande zote hizo!!!.
Inaonyesha kabisa mpangilio hapa ulimwenguni umekaa ki intelligent yani kunalazimika kuwe na akili ili vitu vienende kama vilivyo!, hapohapo nguvu inaingia kwani akili bila nguvu haiwezi kufanya kazi na nguvu bila akili haiwezi kuenenda ama kukaa kwenye mpangilio na hivi vyote haviwezi kupata muda wakufanya hivyo kama hakuna nafasi(space).

Mpaka hapo inakuwa ni ngumu sana kujua nini kilianza na kilianzaje na hata kama vilianza kwa pamoja basi vilianzaje anzaje sehemu isiyokuwa sehemu na vilitokea wapi sehemu ambapo hakuna sehemu!.
Ama naweza kuiweka hivi "Ni kivipi kitu kitokee sehemu ambapo hakuna sehemu na kwanini..?"

Moja kati ya kitu nilichokuja kugundua kwenye ufahamu wetu ni kuwa "Binadamu mara nyingi huwa tunawaza kile tunachokijua na ndio mara nyingi tunatolea bunifu zetu kwenye hivyohivyo vitu tunavyovijua!, Hivyo kutokana na ugumu huo ndio maana bado tupo kwenye ombwe lakushindwa kuelewa nini chanzo cha ulimwengu!.

Kwasababu gani..?
kwasababu hii hatujui hata kama tunauliza swali sahihi ama sio sahihi (chanzo cha ulimwengu ni nini..?) kwa tafsiri yetu inaweza ikawa ni sahihi maana kwa mazingira tuliyopo yametupelekea kuwaza kuwa kila kitu kuwa na chanzo lakini usikute kwenye kanuni za ulimwengu si lazima kila kitu kiwe na chanzo!, na sasa je kama hakina chanzo basi kina nini..? sasa hili ndio ombwe lenyewe ambalo hatulijui tunabaki tunagaagaa kama kidudu kilichopotea tundu lake!.

Najua ni ngumu kuwaza kitu kisichokuwa na chanzo ama kanuni ambayo haileti chanzo!, kama nilivyoandika hapo juu kuwa akili zetu mara nyingi haziwazi vitu tusivyovijua yani ni ngumu sana kuwaza kitu ambacho huna past nacho!. hata nikikuambia uwaze kuhusu kiumbe hai mpya mwenye kanuni nje na hizi tunazofahamu utajikuta unawaza kiumbe mwenye macho, pua, mdomo n.k yani bado yale mazingira yatakuandama maana ndicho unachokijua!.

Sasa tunafikaje huko tusipopajua..?
Sioni njia nyengine isipokuwa njia ni moja tu "tafiti!". ulimwengu ni kama kitabu ukiamua ukifunue na ukiamua ukifunike!, ila akili ya binadamu huwa haina chakufunika huwa inafunua basi kufunua kitabu huwa ni asili yetu shida ipo kwenye kusoma na kuelewa tu!.

Najua kwa miaka nenda rudi vitu vingi vimegundulika vimezua mijadala na kuibua fikra nyingi na mpya!, na vilevile vimezua imani ila bado havijaleta majibu makuu ya yale tunayoyataka kuyafahamu!, bado kiu hakijakatwa hakuna Mungu ama nadharia yoyote ya Uungu iliyoleta majibu yakujitosheleza juu ya kinagaubaga wa nini chanzo cha ulimwengu...?

Hivyo basi mpaka hapo sitakuwa nachakuongeza ama kupunguza!, ombwe hili ni lilelile isipokuwa nimeona majibu sehemu ambapo hakuna jibu maana penye majibu hapana majibu nafikiri ni wakati wakutazama nje ya box, ahsanteni.
Hii ni moja ya mada fikirishi sanaa ila wengi bado hawajaelewa....
 
Evolution na laws of physics haviwezi kuwa vimehusika na sio intellegent creator?
Evolution mpaka leo hii ni nadharia (Theory) tu,.... Laws of physics zinaelezea tu jinsi ulimwengu unavyo operate,. so swali linabaki palepale kwamba Je, ujuzi ulitumika ili kuweza kuunda mifumo mbalimbali tuliyoikuta ulimwenguni,?

Yaani kwamba mifumo imetokea tu without any reasoning Intelligence? kwa mfano mfumo wa mvua kunyesha na kurutubisha ardhi ili kufanya mimea iweze kuota na uhai wa viumbe mbalimbali uweze kuendelea,.. kwamba hii imetokea without any reasoning and intelligence?,.. au tazama mfumo wa kuzaliana kwenye viumbe mbalimbali ukiangalia unaona kabisa ni programmed na logically arranged,... Je, ujuzi haujatumika?
 
Back
Top Bottom