Kuna ombwe juu ya chanzo chetu na ulimwengu!

Kuna ombwe juu ya chanzo chetu na ulimwengu!

Mimi naweza sema hivi, Mungu muumba wa mbigu na nchi yupo, lakini elimu tuliyofundishwa kumuhusu yeye haina ukweli!! mfano biblia inasema Kristo alifanyika maskini, Ili kwa umasikini huo.wa mwaminio wapate kuwa matajiri!! 2Wakorinto 8:9.
Sasa kama elimu hii ni kweli, au kama kanuni tunazofundishwa makanisani zingekuwa kweli.basi Wakristo wote tungekuwa matajiri!! pia Kuna andiko linasema "sisi tu Warithi walithio pamoja na Kristo, Warumi 8:16-17
Pia biblia inasema " Mbingu na vyote vijazavyo ni Mali ya Bwana Zaburi 24.
Sasa kama sisi tu Warithi,tunarithi nn? Maana yake tunarithi vitu vyote vizilivyo umbwa na Mungu.kama mafundisho ya Biblia yangekuwa yanajitoshereza, Walokole wote tungekuwa mabillionea!!! mbona haiko hivo?? maana yake mafundisho ya Biblia hayajitosherezi, au ??
Broo, hapa kuna mengi kuliko tunavyoelewa.

Kristo amefanya vitu ambavyo ni vigumu kufanyika kwa kiumbe chochote kile duniani...na ndio maana anapata special treat.

Kwa uelewa wa Neno la Mungu, linatakiwa kuwa na maarifa ya kungamua. Mfano umasikini umefanyika kwa mwanadamu kama laana.

So, utajiri ni sahihi, lakini vigezo na masharti ni kuzingatiwa. Na hapo ndio panapochujaga wakristo wengi sana hasa walokole (wasioelewa namna ya kuchanganua maarifa haya)

Kuna suala (kiroho) strings attached, kwa sababu unapompokea kristo, anakuvusha na yote, yeye ameshaishinda mauti pale msalabani kwa kufufuka (na ndio maana mwili wake mpaka leo hauonekani.

Logic inakuja hivi, ili ufanikiwe inabidi ueke mikakati na kisha uitekeleze. Na kwenye mikakati yako inabidi iwe kamilifu kimwili na kiroho pia...ndio maana wengine wanatoaga hadi sadaka, maombi au kafara ili kusafisha njia mipango yao. Wapo wanaokutana na misukosuko (obstacles) ambazo huenda zinasababishwa na asili zao (mizimu, au fault spirits) vibali (wakuu wa maeneo, n.k.) na sababu zingine.

Ni ujinga kuanza kulima pasipo kuandaa shamba, the same kwa walokole na watu wanaomjua Mungu, wengine wanaambiwa waombe, au kukata ties zinazowashikilia, kusemesha ardhi, n.k. na hawafanyi, au KUTOTENDA Dhambi, kujitia unajisi, kutofanya uasi, na kadhalika na kadhalika.

Kwenye vigezo na masharti kuzingatiwa, ndipo kunapochujaga wengi licha ya kupewa neema bado wengine wanafeli...mf. mtu anaambiea afanye kazi analeta uvivu alafu anataka kuwa tajiri...how come????
 
WAchina 90% ni atheist


Mbona wanafanya maelfu ya tafiti Kila siku na ukute 90% ya vitu ilivyo navyo unanunua kutoka china kwanini huyo Mungu wenu asiwape huo uwezo ninyi mnaomuamini
Umeni quote lakini umeshindwa kujibu hoja niliyoiweka,.... Wachina wanafanya tafiti lakini mpaka leo kama races nyingine tu bado hawajapata majibu ya maswali yanayotutatiza Binadamu wote since maswali hayo as we speak yanaonekana yapo nje ya uwezo wetu wa kufikiri kwa kutumia resources tulizonazo (akili na visaidizi vyake),...


Au tuambie Wachina wametafiti na kuthibitisha chanzo cha Binadamu na ulimwengu kwa ujumla ni nini kupitia tafiti zao?
 
Back
Top Bottom