Kuna nini kinaendelea CCM?

Kuna nini kinaendelea CCM?

Inavyoonekana, ni kama vile CCM kuna ombwe la ki Uongozi.

Asha-rose Migiro hatoshi na hana sifa za kuendelea kuwa Katibu Mkuu hata kwa siku moja mbele! Ni Katibu Mkuu asiye na ushawishi wala hasikilizwi na yeyote. Yupo kimya kama vile alilazimishwa awe hapo alipo.

Mbaya zaidi, pesa za Chama zinatumiwa na wajanja waliopo Serikalini kwa maelekezo. Ki ujumla, Chama hakina pesa na ndiyo maana hata mishahara ya Watendaji na Watumishi ndani ya Chama, mishahara hawalipwi.

Fukuto ni kubwa na la haja! Ni suala la mda tu fito zitagawanwa.
Kwani kamba yako ina urefu gani wewe?
Mbona unalalamika sana?
 
Yes,
ndio maana tunakemea nonsense za wafuata mkumbo bila kuchoka wala kukata tamaa.

Tunajenga taifa imara linalojitegemea 🐒
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Mishara ikosekane na Kihongosi anatembea ziara kama Rais wa nchi jamani, anyway sijui
 
Jitahidini msiibe pesa za serikali kwa ajili ya chama chenu.
 
Back
Top Bottom