Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 11,777
- 36,235
Duh 🙌Hiyo misemo ya zamani asante kwa kutukumbushia ila zamani ni tofauti na sasa ndio maana sasa hivi kuna maendeleo ya technologia (udigitali) Mtoto wa mwenzio sasa hivi si mtoto wako tena maana ni mkubwa mwenzio tena bila wewe mkuju an kama ni mkubwa anajieleza kwa vitendo ili ujue kama ni mkubwa mwenzio kwaiyo ni nguvu kwa nadharia iyo uliyoisema kujithibitisha kwa sasa ndio maana we just mind our business na wao wa do the same akili kumkichwa kwa sasa