Kuna mtu namchukia humu jf

Status
Not open for further replies.
Inawezekana mimi!nitaje tu watu wajue kabisa!speak out au sema usikike!
 
Pole kwanza , na nategemea utakuwa ushapata kazi sehemu nyingine bila kutoa unyumba kinyume cha nia yako. Kama ujapata usichoke kutafuta.

Pia naona itakuwa vizuri ukimtaja huyo mtu hili wakina dada wengine wanao tafuta kazi wakajua kwamba mtu flani hatoi kazi bila kupewa ngono.
 
Mbona humtaji tu? Au tukupe mji?? Ni kitu gani unataka mrembo wewe tukupatie ili umtaje??

Nna TemboCard-MasterCard hapa!
 
Lol... Thanks a lot my only wifi,...wasiopatana na mawifi zao kaki wanayo, sie akuuu kwa raha zetu!

Umeona eeeh? ndio maana kwa Mbu tumepiga kura familia kwanza then kipato chafuata....lol
 
Mbona humtaji tu? Au tukupe mji?? Ni kitu gani unataka mrembo wewe tukupatie ili umtaje??

Nna TemboCard-MasterCard hapa!

I seriously doubt there is that person. I have a feeling this is all facetious.
 
hahahahahahah....Yaani nafikiri leo nilikuwa sijacheka siku nzima....LOL...🙂 umenipa burudani la kutosha....:juggle:

Have a blessed evening!
 
Hebu ni PM basi tumjue maana ukikosa raha wewe mimi huku ndio kabisaaa
 
hahahahahahah....Yaani nafikiri leo nilikuwa sijacheka siku nzima....LOL...🙂 umenipa burudani la kutosha....:juggle:

Have a blessed evening!

Happuch nimefurahi kama nimekufurahisha Dear....lol... Kumbe nawe waupenda eeeh? (I love the song, swagger za jamaa na mabinti pia); kuliko vyoote the beat nyuma yake....

Karibu kwangu maana ndo na log off kwenda kupika...lol,,,, Nipo na King'asti lakini mtegezi ile mbaya!:biggrin:

Kua na Jioni njema Happuch....
 
Umeona eeeh? ndio maana kwa Mbu tumepiga kura familia kwanza then kipato chafuata....lol
Lol wifi, nilikuwa sijaiona burudani ulotuwekea!...asee nimecheza mpaka jasho limenitoka.... Ubarikiwe sana wifi angu kipenzi cha roho yangu!
 
Lol wifi, nilikuwa sijaiona burudani ulotuwekea!...asee nimecheza mpaka jasho limenitoka.... Ubarikiwe sana wifi angu kipenzi cha roho yangu!

Ukija nyumbani utaona the way I make em' moves.....lol... Karibu saana weekend hii uburudike.
 
The problem is with you smile. Mara kichefuchefu, mapigo ya moyo kupanda na punde utasikia presha inapanda then kisukari, mwisho utakufa bure wakati yeye anadunda!
 
Aah, Smile! mwanike humu jamvini huyo fisadi ili tumwadibishe.
 
Asante my dear...ngoja niwahi nije nikusaidie bana..........tuachane na kupiga story hapa!. THANKS DEAR.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…