sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Darling hawapendi kuona hao usiwasikilize!Mbona mnanishawishi kubadilisha utaratibu wangu?
Lol
Na Nitonye alivyo bushoke anakubali na bichwa hilooooo
Hapa nitahitaji maelezo ya kina ukirudi home jioni.ID yako imenikumbusha kitu
Na hataweza nakuapia!B52 naona unataka kuingia chumbani kwangu sasa, wewe kaa na Amyner
Kila nikitembelea profile yake na kuangalia avatar yake ndio inanimaliza kabisa, anaonekana ni mpole na mtaratibu kutokana na avatar yake jinsi ilivyo..
Wivu suna kwa mtu aliyenishikia moyo wangu lol.... 'Kama unampenda utamlinda'
Hapa nitahitaji maelezo ya kina ukirudi home jioni.
We taratibu wakati unafumaniwa na Amyner Jogoo house mie nilikuwepo?We ushavunja yangu mbona sisemi.....
Na hataweza nakuapia!
Anajitahidi kweli ila ashindwe na alegee! Amina.
Honey mwache akufe na tai shingoni.Wewe kalia kusema 'kuna mtu anautesa moyo wangu' wakati watu wanafanya kweli utaishia kufanya nae kwenye ndoto
Tatizo mkeo kanifanyia fitina sana kwa Amyner...hebu kaa nae aniombe radhiB52 naona unataka kuingia chumbani kwangu sasa, wewe kaa na Amyner
Inahuu?...lol.Kwa kuivaa kila wakati hataukiwa ofcn....
Teh
Relax baby, au huniamini?Nimemchunguza sana huyu b52 naona anakuzengea tu
Nimemchunguza sana huyu b52 naona anakuzengea tu
Hehehe! Wachonganishi utawajua tu lol.Hahahahahaaa naona hii kesi tutaiongea tukienda kule unapokunywaga banana...humu hapafai coz wake zetu watatumaliza coz nawe nilikufuma na Amy
Wewe kalia kusema 'kuna mtu anautesa moyo wangu' wakati watu wanafanya kweli utaishia kufanya nae kwenye ndoto
Relax baby, au huniamini?
Hahahahahaaa naona hii kesi tutaiongea tukienda kule unapokunywaga banana...humu hapafai coz wake zetu watatumaliza coz nawe nilikufuma na Amy