kampenda TB baada ya kuona kanyakua kitita cha Tzs 50k yaani huyu jux ni noma..
Hahahaha! Pungunza munkari sio yeye bana, wako wengi majina yanaanzia na T.kidole na jicho bi dada.
Ntaua mtu kwa mikono yangu mitatu.
Nikifikiria haraka haraka majina yanayoanzia na T huko MMU kuna The Boss, Teamo, The Finest sasa sijui who's who hapo...hehehehe Kongosho naona roho inataka kukutoka.Ni member ni maarufu MMU jina lake linaanza na T..
Lol..Kweli tena jina lake linaanza na T...
Wewe si wa Asprin banaa wivu wa nini sasa...hahahahaHuu ni utani au???
Naona unataka shika makalio ya simba
Nikifikiria haraka haraka majina yanayoanzia na T huko MMU kuna The Boss, Teamo, The Finest sasa sijui who's who hapo...hehehehe Kongosho naona roho inataka kukutoka.
Wewe si wa Asprin banaa wivu wa nini sasa...hahahaha
Hahahaha! Pungunza munkari sio yeye bana, wako wengi majina yanaanzia na T.
Labda Teamo je?
Mhhh!! Kama ndio hivyo bora nikae kimya sasa..
Una utani na kongosho? Mie simo!kampenda TB baada ya kuona kanyakua kitita cha Tzs 50k yaani huyu jux ni noma..
Hahaha! Ukimkosa mtafute MTM huwa anagongeana na Kingasti...anyway, ngoja nitulie.
Hivi king'asti yuko wapi anipe msuba
i can't think straight anymore.
Akipata vits mie pia simuachi, omba mungu aendelee kutembelea hiyo phonex yake lol...ha ha ha, kuvuna Efu hamsini wanataka kunijazia umati.
Wakati nakauka koo kupiga kampeni walikuwa wapi??
Je akipata vits?
Daaaah! Huu mkwara lazima abadili jina lol....akithubutu kutaja ujue analindwa na mitambo maalumu!Ukipata nguvu za kusema, utasema.
Ila jua nshanyanyua panga.
Be very careful na jina utakalosema.
Analyse consequences zake in depth.
Maana, usije ukapata adhabu ya Life Impresonment bure.
SL, nisaidie
nshafungwa P.O.P ya moyo sasa hivi.
Akipata vits mie pia simuachi, omba mungu aendelee kutembelea hiyo phonex yake lol...
We huwezi kuelewa hapoHapa sijakuelewa wife
Hahaha! Ukimkosa mtafute MTM huwa anagongeana na Kingasti...
Mbavu zangu mie lol, 'eti i cant think straight'... Au tupia hata ugoro kama unao, kama huna mwombe babu ODM huwa hakosi..
Utajibeba bidada!
Akipata vits mie pia simuachi, omba mungu aendelee kutembelea hiyo phonex yake lol...