Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

Wonders never cease!
Hivi utamtamanije mtu just from the PC keyboard?
Just an avatar which you are not sure whether it bears the proprietor's genuine attributes? Kweli?

we acha tu. Mi mwenyewe hapa nimefall kwa kinjemba humu ila naogopa kujijux. Lol
 
Kila nikitembelea profile yake na kuangalia avatar yake ndio inanimaliza kabisa, anaonekana ni mpole na mtaratibu kutokana na avatar yake jinsi ilivyo..

pm hata ya salamu inatosha kumpa awarenes yako Jux
 
hehehe! Nishapokea pms kibao za kuifagilia avatar yangu. Lol.
Mimi je? Yan mpaka kuna watu wananiomba niwauzie avatar yangu sema nimekataa!

Swahiba umeiona ile picha yako ulipiga na shemeji uporoto kwenye ile kitchen party yangu?.. Katavi kaiweka humu chit chat, kareport abuse fasta swahiba.
 
unamchongea mwenzako?
 
husyn hana jeuri hiyo
si unaona anavyomfanyia uporoto shambulio la aibu!

Mimi je? Yan mpaka kuna watu wananiomba niwauzie avatar yangu sema nimekataa!

Swahiba umeiona ile picha yako ulipiga na shemeji uporoto kwenye ile kitchen party yangu?.. Katavi kaiweka humu chit chat, kareport abuse fasta swahiba.
 
Mimi je? Yan mpaka kuna watu wananiomba niwauzie avatar yangu sema nimekataa!

Swahiba umeiona ile picha yako ulipiga na shemeji uporoto kwenye ile kitchen party yangu?.. Katavi kaiweka humu chit chat, kareport abuse fasta swahiba.

katavi ameharibu. Inabidi niifiche modem ila husband asiingie jf. Halafu nilitaka kawe kasmol hauz kangu ila naona kataharibu kwa big hauz.
 
wifi na mambo mengi jamani mpaka najisahau pyaaa
Umepotea ukaniacha peke angu Erick ananishambulia, ila nimepambana mpaka kakimbia!

Umeanza biashara ya kuuza ngozi ya ng'ombe? Manake huko kijijini sijaelewa!
 
katavi ameharibu. Inabidi niifiche modem ila husband asiingie jf. Halafu nilitaka kawe kasmol hauz kangu ila naona kataharibu kwa big hauz.
Hakafai swahiba, kaepuke kabisa katavunja ndoa asee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom