Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

Jux

Senior Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
114
Reaction score
57
Kila nikitembelea profile yake na kuangalia avatar yake ndio inanimaliza kabisa, anaonekana ni mpole na mtaratibu kutokana na avatar yake jinsi ilivyo..
 
kwe kwe kwe kwe!

Ni husninyo au manake avatar yake ndio iko kiupole upole!
 
he he he, SL ana nguvu kama njaa
maana hata mwanamieleka au baunsa akiwa na njaa hana nguvu tena.

Nimeshakamatwa mimi sina ujanja kila application lazima zipitie kwa Sweetylady
 
he he he, SL ana nguvu kama njaa
maana hata mwanamieleka au baunsa akiwa na njaa hana nguvu tena.

Ubaunsa unaishia ulingoni ukiingia ndani ya nyumba ka mtoto mdodo vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom