Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

hehehe Kongosho huwa anasemaga mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe, na hili ndio funzo tunalopata kwenye hii sredi.
Wikiend ipo shwari kamanda namsubiria Lizzy apa tukakamalize kale ka fifty sauzend ka superman

poa wala siwajoin maana hakatatosha bila top up...daam supaman angetoa walau 500K
 
Kuna watu wana bahati sana ya kudondokewa humu jf!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom