sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,410
Acha kunisingizia vile Amyner hayuko hapa!Tatizo mkeo kanifanyia fitina sana kwa Amyner...hebu kaa nae aniombe radhi
Acha kunisingizia vile Amyner hayuko hapa!Tatizo mkeo kanifanyia fitina sana kwa Amyner...hebu kaa nae aniombe radhi
Hehehe! Wachonganishi utawajua tu lol.
Hehehe! Wachonganishi utawajua tu lol.
Jiandae ntakujazia buku kwenye nauli yako.
Where is Jux jamani?
Acha kunisingizia vile Amyner hayuko hapa!
Hahaha!kabakabana kamkimbiza.
Yamemshinda huyu tatizo lake kazidisha usharobaro. Hivi una taarifa za kaka angu Bishanga sijamuona?
Usiusemee moyo!Teh we humpendi Nitty unamdanganya tu
kabakabana kamkimbiza.
We mwache dawa yake inachemka...Yamemshinda huyu tatizo lake kazidisha usharobaro. Hivi una taarifa za kaka angu Bishanga sijamuona?
Teh teh namngoja dada yako aje...alimpitia Amy wakaenda saloon ila nahisi amemleta kwakoYamemshinda huyu tatizo lake kazidisha usharobaro. Hivi una taarifa za kaka angu Bishanga sijamuona?
Muulize hapa hapa nisikie, mambo ya kuitana chemba hakuna!Konnie njoo nikuulize kitu
King'asti toka ndoa yake na Paw iyumbe ameadimika kweli, ana stress mno manake kaponea chupu chupu kulimwa talaka, kama sio mimi na AshaDii angekoma asee! Kumbe Paw mkali mpaka home kwake, nilidhani jf peke ake!alienda iba mke wa mtu
labda kakamatwa
nendeni kitu cha polisi na ITV
afu sijui kamkwiba King'asti
Muulize hapa hapa nisikie, mambo ya kuitana chemba hakuna!
King'asti toka ndoa yake na Paw iyumbe ameadimika kweli, ana stress mno manake kaponea chupu chupu kulimwa talaka, kama sio mimi na AshaDii angekoma asee! Kumbe Paw mkali mpaka home kwake, nilidhani jf peke ake!
King'asti mke mwenza popote ulipo pole sana kwa maswahiba! Rudi jf manake shemeji Paw keshakusamehe.
Kila nikitembelea profile yake na kuangalia avatar yake ndio inanimaliza kabisa, anaonekana ni mpole na mtaratibu kutokana na avatar yake jinsi ilivyo..
Kila nikitembelea profile yake na kuangalia avatar yake ndio inanimaliza kabisa, anaonekana ni mpole na mtaratibu kutokana na avatar yake jinsi ilivyo..
Wonders never cease!
Hivi utamtamanije mtu just from the PC keyboard?
Just an avatar which you are not sure whether it bears the proprietor's genuine attributes? Kweli?
Hahahahaaaaa SL umenimaliza....kwani si alitufuma nawewe...lolWe taratibu wakati unafumaniwa na Amyner Jogoo house mie nilikuwepo?
Utajibeba braza!
Kila nikitembelea profile yake na kuangalia avatar yake ndio inanimaliza kabisa, anaonekana ni mpole na mtaratibu kutokana na avatar yake jinsi ilivyo..