Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,753
Leo nilikuwa nimepanda basi nikielekea kariokoo.ila kwenye siti nilikuwa nmekaa karibu na msela mmoja hivi . ila kwa umbali nilimwona akiperuz JF na leo ndio mara ya kwanza ya kukutana na mwana JF. Ila nilikuwa najifanya kwa angalia pemben huku nikiendelea kucheki skrin yake. ila kilichonistusha mwamba yule alikuwa akitumia avatar ya kike na id ya kike na alikuwa anaonekana ni mtu anayefahamika sana hapa JF maana ni platinum member.
ila nijaribu kuona kama ntaona id yake ila niliona inaanza na bi ila sikufanikiwa kuona tena maana alitoka JF akaingia zake FB.
ila nikajua humu JF masela wanatapelika kwa urahisi haswa wale wanaotafuta wachumba.