Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,120
- 111,798
NAKAZIAAABRo endekeza ngono na wanawake wajinga lkn tambua hakuna tuzo ya kuto..mber🤣🤣🤣
NAKAZIAAABRo endekeza ngono na wanawake wajinga lkn tambua hakuna tuzo ya kuto..mber🤣🤣🤣
Kwanza mwanamke wa namna hii angeniandikia hizo shuzi ningem-ghost totally mpaka akili zimkae sana...Yaani ukiona janaume lina demu asiye na akili ujue na lenyewe halina akili vile vile, mtu unapata wa kufanana nae.
Very weak indeed...atakua kala vya kulishwa huyo...Yaanihe is weak kwa huyo mcheps afu anakataa hapa
kama nihivyo kwanini unashindwa kumuacha?Aaah wapi, Huyu mwanamke tamthilia za kifilipino zinamdanganya Sana.
Anajikuta wa muhimu Sana kuliko MKE wangu, tena anatengeneza mazngira kunipima kati ya wife na yeye ntaegemea upande upi.
Asichojua ni kwamba,
Wife Ni muhimu Sana kuliko yeye.
Yeye ukiondoa TU icho kidudu chake, Hana Cha ziada kuoffer kwenye maisha yangu.
Huyo mwanamke wako akili hana na wewe ndio unamuendekeza kama kanunua kwa manufaa ya nyumbani kwake kwanini hakuombe hela ya kufidia uoni ni uzwazwa huoAlinunua Matumiz Nyumbani kwake
kama nihivyo kwanini unashindwa kumuacha?
For me naona jamaa ndio akili hana na huyo manzi anatumia udhaifu wake kama fimbo ya kumchampiaPrinciple yangu ya kwanza kwa mchepuko ni huwa lazima awe njema upstairs kumshinda mke wangu...
Kama reasoning yake ni ndogo kumshinda mke wangu huwa hatuchukui round...
Sasa huyo mchepuko wako siyo tu ni hauna akili, bali hauna hata akili za kuzaliwa...
Au tuseme labda umeshakuona wewe ndo hamnazo...
Halafu kwanza unakuwaje na mchepuko unaouhudumia kiasi hiko, i mean kuhudumia ni sawa ila mpaka pesa ya chakula? Na usipotuma anamaindi? Kwa hiyo usingekuwepo wewe angelala njaa?
Anabanajwe kwani yeye hana akili huyo ni mvulana bado hajafikia stage ya kuwa mwanaumeKabanwa,kaelewa somo ni sawa na chai jaba kwa zari daily yupo kule kisingizio watoto
Anabanajwe kwani yeye hana akili huyo ni mvulana bado hajafikia stage ya kuwa mwanaume
Hii ndio kanuni yetu wanaume tukiwa na michepuko family comes firstTangu juzi sijakwenda kwake wala kumpigia Simu, nmetuliza akili namuuguza wife kwanza.
Bila gubu unaweza shindwa toboa kwani viumbe pasua kichwa🤣Acha gubu mwanaume
Wewe ni dhaifu kwasababu unaendeshwa na ngono badala ya akili huyo demu anakupanda akili kwa kumzoesha mambo ya kijinga kama hayo, mchepuko hapaswi kumuhudumia kwa kiwango hicho hata kidogo hizo gharama unazotumia kwa huyo demu utakuja kujutia baadae ukishapigwa na kitu kwa hapa ni ngumu kunielewa ila ni suala tu la muda utanielewaSasa udhaifu wangu uko wapi?
Ulitaka nimtelekeze wife nikalale na Mchepuko ndo uamini Niko strong?
Ebu acha mentality za ivo mkuu
Mtu kakosa aibu miaka yote hiyo aje kuwa na aibu leo? Huyo ndio alivyo hatokaa abadilike na hili unalijua ila unajitoa ufahamu. Shauri zako maisha ni yako.Vituko vyake sjamzuia asifanye,
Ila angalau awe na lepe la aibu na utu kidg, mwenzie anaumwa hata hajali.
Hajui ustawi wa mwenzie ndo unafanya ata yeye astawi uko aliko?
Yaani niache MKE wangu hoi hospital kitandani, niende kwa Mchepuko, NNA ntakua na AKILI TIMAMU KWELI?
Mamlaka umeshampa tayari kwa kumzoesha vibaya kumuhudumia kama unamuhudumia mke, jambo la pili kujua udhaifu wako uko wapi hasa hili la ngono ndio maana anakutawala atakavyoWala Sijampa mamlaka yyt mkuu,
Ni yeye TU mwnyw anajaribu kujizima data