Kuna michepuko ni takataka kabisa

Kuna michepuko ni takataka kabisa

Usimlalamikie huyo mchepuko wewe ndio una matatizo. Unazijua vizuri tabia zake na ushasema mwenyewe huwezi kumuacha hivyo wacha aendelee kukutundika matukio mpaka siku yakushinde ujiondoe mwenyewe.
Vituko vyake sjamzuia asifanye,
Ila angalau awe na lepe la aibu na utu kidg, mwenzie anaumwa hata hajali.

Hajui ustawi wa mwenzie ndo unafanya ata yeye astawi uko aliko?
 
Katika pituitary zako na wanawake tofauti, umewahi kukutana na mcheps anayejali welfare ya familia yako? I mean, wewe ni mzoefu wa hizi mambo, kuna Ke wa pembeni anajali maisha yako binafsi bila kuangalia mfuko wako?
Nmeona Sana nyuz za watu humu, michepuko Yao mpk inashiriki ktk maendeleo ya uchumi/kazi zao na familia zao. Ila kwangu Ni tofauti
 
Yaani Pesa Ni zangu, nazitafuta kwa jasho langu, eti jitu from nowhere linifokee kunilazimisha nizitumie pesa zangu ili kutimiza mahitaji Yake. Aisee uyo labda sio mimi, Vinginevyo nmerogwa.

Afu Kuna watu Sijui wakoje,
Yaani wanapenda sana kujipa umuhimu mkubwa wasiokua nao kwenye maisha ya watu wengine.

Unashangaa jitu kukutanulia tu mapaja siku mbili tatu, tayari lishajipa hati miliki ya muda wako na uchumi wako,utadhani Lina hisa yoyote kwenye harakati zako.

Hizi ni Takataka kabisa,
Tena za kutupa dustbin haraka SanaView attachment 2838659View attachment 2838661View attachment 2838663View attachment 2838664
Blaza umeokota wale wa visendo vya manyoya au wale wa blichi?
 
Sasa naelewa, hizi ni aina za Me zinazoweza kuhonga hata nyumba. K kama Kei inapagawisha kiasi hicho? Never asee!!!
Tujifunze kutofautisha Kati ya kumhonga na kumhudumia KE, Kama gari au nyumba Ni lazima kwenye hayo mahusiano yenu sidhani Kama unakua umemhonga
 
We jamaa una mambo ya ajabu sana, sasa kama unajua mkeo ni muhimu si utulie naye, kwani hicho kidudu mkeo hana
Sifikirii kutamka unataka nitamke khs MKE wangu kipenzi, haya Mambo ya michepuko Sijui ata niyaelezeeje unielewe Bila kutumia kauli ngumu
 
Yaani Pesa Ni zangu, nazitafuta kwa jasho langu, eti jitu from nowhere linifokee kunilazimisha nizitumie pesa zangu ili kutimiza mahitaji Yake. Aisee uyo labda sio mimi, Vinginevyo nmerogwa.

Afu Kuna watu Sijui wakoje,
Yaani wanapenda sana kujipa umuhimu mkubwa wasiokua nao kwenye maisha ya watu wengine.

Unashangaa jitu kukutanulia tu mapaja siku mbili tatu, tayari lishajipa hati miliki ya muda wako na uchumi wako,utadhani Lina hisa yoyote kwenye harakati zako.

Hizi ni Takataka kabisa,
Tena za kutupa dustbin haraka SanaView attachment 2838659View attachment 2838661View attachment 2838663View attachment 2838664
Kutana na Ma Jay
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom