Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Unataka sifa gani wakati kwake hujiwezi?🤣🤣🤣Hajawa bi mdg bhana,
acheni kumrasimisha, Hana sifa za kua bi mdg
Unataka sifa gani wakati kwake hujiwezi?🤣🤣🤣Hajawa bi mdg bhana,
acheni kumrasimisha, Hana sifa za kua bi mdg
Si tulikwambia unapangwa?Ujue Alitulia sana apa katikati
Harakati za PIMBI za bwana DeepPondNi hivi,
Ijumaa baada ya kufunga duka nlkua nna ratiba ya kwenda kwake, ghafla nikapewa taarifa MKE wangu kakimbizwa ghafla hospitali, analalamika Tumbo linaamuuma sana.
Kanipigia kuniuliza "vipi mbona ufiki"
Nikamtaarifu sitoweza kuja kwako, niko njiani naelekea hospitali, mke wangu kakimbizwa ghafla. Nashangaa ananitumia sms za kipumbavu, nikaona asije niharibia Siku, nikapata ajali barabarani, sikuzijibu sms zake.
Baadae kanipigia Akisema "Sasa Ni pesa ya matumizi vipi, hamna chochote cha kupika uku? "
Nikamwambia "nenda Duka la mangi Apo jirani, akakupe vitu unavyohitaji vya kupika, nkija ntamlipa pesa yake". Baadae kanirudishia mrejesho kua kamkuta mkewe, kasema hakopeshi.
Nikamwambia, Basi tumia balance yako, nunulia vitu vyote vya kupika, utanipa hesabu Kisha ntaifidia nikija uko kwako. Kasema sawa.
Tangu juzi sijakwenda kwake wala kumpigia Simu, nmetuliza akili namuuguza wife kwanza.
Leo ananiuliza hivi namchukuliaje,
Hata Salam kuulizia tu mgojwa niliemtaarifu anaumwa kapelekwa hospitali ghafla anaendeleaje, hamna.
Anachoulizia direct Ni pesa zake za matumizi nilizoahidi ntafidia baada ya kuzitumia kugharamia chakula chake mwenyewe.
HUYU MWANAMKE HANA UTU, UBINADAMU WALA USTAARABU KABISA![]()
Ama... Days of our lives!Kuna ile tuliangalia zamani, The Bold and The Beautiful 🤣🤣
Huyo oa tu sasa mwaka wa 7 huu bado hajawa bi mdogo tuHajawa bi mdg bhana,
acheni kumrasimisha, Hana sifa za kua bi mdg
Atakuwa ameyachoma choma mayai na mbegu hadi zimefubaa🤣🤣Huyo oa tu sasa mwaka wa 7 huu bado hajawa bi mdogo tu
Ni kweli wanavyosema, kuna Me hawafurukuti kwa Ke. Unaendeshwa kama gari bovu nawe upo tu. Yaani unakuwa bwegger!Ama... Days of our lives!
akubali tu kipigwe cha mkeka kiroho safiAtakuwa ameyachoma choma mayai na mbegu hadi zimefubaa🤣🤣
Ulimtuliza...ila basi tuu tunachangia ila tuna ku mind kichizi yani...yani unahalalisha uzinzi wako..wakati wifi yetu yupo home hajui..na sisi tunapata pikcha kina baba fulani huko...Ujue Alitulia sana apa katikati
Hebu tumuache mateka wa mamajay.hahahahah
akubali tu kipigwe cha mkeka kiroho safi
Eti nin?i Kama kuna jambo gumu kwa mwanaume ni kuupiga chini mchepuko! MIDUME MINGINE HUZABWA HADI MAKOFI NA MICHEPUKO IPO RADHI IACHE BUKU 2 KWA WAKE NA WATOTO WAO KWA MICHEPUKO M KADHAA!Kama Hizi story zako za mchepuko ni za kweli (sio chai). Nahisi wewe ni mwanaume dhaifu mno 😂😂😂😂😂. Kwa nini unashindwa kumuacha huyo majay? Je ni uchawi? Au ana K tamu ya moto?
Ila kiufupi wewe ni mwanaume dhaifu mno 😂
Hatari mno 🤣Eti nin?i Kama kuna jambo gumu kwa mwanaume ni kuupiga chini mchepuko! MIDUME MINGINE HUZABWA HADI MAKOFI NA MICHEPUKO IPO RADHI IACHE BUKU 2 KWA WAKE NA WATOTO WAO KWA MICHEPUKO M KADHAA!
😂😂 We Sharuk Khan mpinzani wa Jimbo hajuliwi Khali sheikh.Leo ananiuliza hivi namchukuliaje,
Hata Salam kuulizia tu mgojwa niliemtaarifu anaumwa kapelekwa hospitali ghafla anaendeleaje, hamna.
Si mchezo mkuuHatari mno 🤣
Mkuu wanawake wote wanazo nguvu za kumuendesha mwananume watakavyo ila sasa wakisha olewa wengi wana loose kwani kaleee kauoga ka ndoa kanawa badilisha.Ni kweli wanavyosema, kuna Me hawafurukuti kwa Ke. Unaendeshwa kama gari bovu nawe upo tu. Yaani unakuwa bwegger!
Ulimtuliza...ila basi tuu tunachangia ila tuna ku mind kichizi yani...yani unahalalisha uzinzi wako..wakati wifi yetu yupo home hajui..na sisi tunapata pikcha kina baba fulani huko...


he is weak kwa huyo mcheps afu anakataa hapa