Kuna michepuko ni takataka kabisa

Kuna michepuko ni takataka kabisa

Huo mchepuko dawa yake ...block yaisheee...ila kama umekamatika ndio shidaaaa
 
Ila wanaume matatizo mengine mnajitakiaga wenyewe. Unapata mchepuko ana kucontrol kuliko hata mke wako. Kwanini msitulie na wake zenu
Wew ni wakike ni vile tu haujui hulka yetu ndio maana umesema hivyo.
 
Aloo !! Mimi nikishakutana na mwanamke anaeandika "Fikilia " badala ya "Fikiria "
Naachana nae hapo hapo ,

Acha kudate wapuuzi bana
 
Hulka yenu ikoje?
Mwanamke mmoja hawezi tosheleza hulka ya mwanaume alie kamilika kivip

Mwanaume anapenda

Miguu mizuri
Lips denda
Macho ya genye
Dimples
Rangi nyeupe
Rangi nyeusi
Mrefu
Mfupi
Kibonge
Mwembamba na nk

Ivo vyote ni mwanaume mmoja anavipenda vyote kwa pamoja

Sio rahis Mwanamke mmoja awe navyo vyote

Ila mwanaume anampenda Mwanamke mmoja tu anaemjua na wanaoendana vizuri na alie mchagua kuwa mama wa watoto wake, bila kujalisha ni pisi kali au sio kali, ila njee lazima atimize tamaa yake isiyoisha labda nguvu zipungue tu.
 
Kila kitu kina gharama ya kulipia , yani ni kila kitu ,hata ukitulia na mwanamke mmoja utalipa tu gharama fulani.
Tujue kutofautisha kuwajibika na matatizo ya kujitakia. Umeoa kula, kuvaa, kulala kwa familia yako ni wajibu wako, watoto kwenda shule ni wajibu wako. Lakini kuchunwa na michepuko ni matatizo ya kujitakia
 
Mwanamke mmoja hawezi tosheleza hulka ya mwanaume alie kamilika kivip

Mwanaume anapenda

Miguu mizuri
Lips denda
Macho ya genye
Dimples
Rangi nyeupe
Rangi nyeusi
Mrefu
Mfupi
Kibonge
Mwembamba na nk

Ivo vyote ni mwanaume mmoja anavipenda vyote kwa pamoja

Sio rahis Mwanamke mmoja awe navyo vyote

Ila mwanaume anampenda Mwanamke mmoja tu anaemjua na wanaoendana vizuri na alie mchagua kuwa mama wa watoto wake, bila kujalisha ni pisi kali au sio kali, ila njee lazima atimize tamaa yake isiyoisha labda nguvu zipungue tu.
Mna kazi sana. Poleni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom