Kuna michepuko ni takataka kabisa

Kuna michepuko ni takataka kabisa

Sasa wewe unakubalije kulipa hapo mkuu? Unajua nakuheshim
Kikawaida uwa namhudumia kila Siku iendayo kwa Mungu, ikitokea Niko mbali namwambia atumie pesa zake, nkirud ntamrejeshea. Na Huwa nafanya hivyo mara kwa Mara,na yeye analitambua hilo.

This time,
hii situation imenikuta kipind namuuguza wife. Na wife wangu akiumwa kdg TU akili yangu inavurugika kabisa, maana she's my everything kuanzia malezi ya familia Hadi ustawi wa uchumi wangu kiujumla.

Kinachonikera kwake sio pesa alizoomba,
Ni jins gan alivyoshindwa kuthamini Wala kujali suala la mke wangu kuumwa na taarifa nmempa.

Hata salamu Wala kuuliza anaendeleaje hamna, anadai TU pesa zake.

Huu Ni ukosefu wa utu uliopitiliza
 
Principle yangu ya kwanza kwa mchepuko ni huwa lazima awe njema upstairs kumshinda mke wangu...

Kama reasoning yake ni ndogo kumshinda mke wangu huwa hatuchukui round...

Sasa huyo mchepuko wako siyo tu ni hauna akili, bali hauna hata akili za kuzaliwa...

Au tuseme labda umeshakuona wewe ndo hamnazo...

Halafu kwanza unakuwaje na mchepuko unaouhudumia kiasi hiko, i mean kuhudumia ni sawa ila mpaka pesa ya chakula? Na usipotuma anamaindi? Kwa hiyo usingekuwepo wewe angelala njaa?
Uyu wa kwangu upstairs Ni changamoto,nnachompendea Ni mtamu sn kitandani. Vingine vyote Ni sifuri
 
Hapo kuna mawili
1. Uchawi
2. K tamu ya moto


Au labda jamaa, analeta chai tu humu JF kuchangamsha jukwaa.


Ila jamaa ni mtu mdhaifu sana. Mchepuko ukizingua si unaupiga chini tu. Huyu jamaa ni dhaifu mno
Sasa udhaifu wangu uko wapi?

Ulitaka nimtelekeze wife nikalale na Mchepuko ndo uamini Niko strong?

Ebu acha mentality za ivo mkuu
 
Kama haujui puli ya mlenda wa moto au puli ya mafuta ya nazi ya moto ndio maana unazuzuka na K ya moto , unandika story ndeeefu juu ya mchepuko

Siku ukipiga hiyo puli, jinsi inavyoteleza na joto lake. Hautajutaji mchepuko tena
Wanawake wote Hawa barabarani eti nikapige puli ili nigundue Nini hasa?

Puli tuwaachie vijana wanaobalehe maana kwa Rika lao, kimaadili na kisheria hawastahili kuzitafuna mbususu
 
Kama Hizi story zako za mchepuko ni za kweli (sio chai). Nahisi wewe ni mwanaume dhaifu mno 😂😂😂😂😂. Kwa nini unashindwa kumuacha huyo majay? Je ni uchawi? Au ana K tamu ya moto?


Ila kiufupi wewe ni mwanaume dhaifu mno 😂
Sio dhaifu ni mpuuzi. Hakuna mwanaume kamili, Rijali, Ngangari na Hardcore atapelekeshwa na Mwanamke hivi. Sio Mchepuko tu hata mke ndani ya nyumba hawezi kumuyumbisha na kumpelekesha hivi. Sasa Mchepuko tu anampanda na kumnyea kichwani alafu anakuja kulialia huku JF. Hakuna mwanaume kamili hapa. Hapa kuna wamama wawili ndio maana wanachambana. 😅😆😁😄😃😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom