Kuna michepuko ni takataka kabisa

Kuna michepuko ni takataka kabisa

Nchi ngumu hii tunahangaika na wahanga wa mafuriko huku nako tena Majay kalianzisha, ngoja inyeshe tuone panapovuja
 
Ukipika vinakuwa kama vya kuchezea watoto kwenye makopo tulikuwa tunapika enzi zetu.

Tunaita madange😂
hahahahhaa umenikumbusha mbali sana na nimecheka kwa nguvu ofisini, watu wanachukulia maisha rahisi sana

waache utani wao
 
Tafuteni mganga wa Majay sio fake kabisa
Naungana na wewe mkuu, uko sahihi kabsaaa maana sio speed hizi anazompelekesha nazo mkuu mwenzetu

itabidi tumtafute DeepPond tumpe maujanja ya kufanya awe huru hahahaha kama anataka lakini
 
Aaah wapi, Huyu mwanamke tamthilia za kifilipino zinamdanganya Sana.

Anajikuta wa muhimu Sana kuliko MKE wangu, tena anatengeneza mazngira kunipima kati ya wife na yeye ntaegemea upande upi.

Asichojua ni kwamba,
Wife Ni muhimu Sana kuliko yeye.

Yeye ukiondoa TU icho kidudu chake, Hana Cha ziada kuoffer kwenye maisha yangu.
Analijua hilo ndo mana kwake wewe ni bussines partner na sio mwenza,coz anajua huwezi kumuoa..so we mpe tu hela zake,mambo ya mke wako yeye hayamuhusu kabisa,YUKO SAHIHI KABISA.
 
Tulieni na wake zenu ulitaka amuonee huruma mkeo
 
Aiseenishawahi kuwa na mahusiano na michepuko kama hiyo yaani ni balaa kwanza akianza kupiga simu hata hajiongezi kwa nnini haipokelewi yaani atapiga na kupiga... hata kumsalimu unaaogopa lazima upigwe kizinga
 
Aaah wapi, Huyu mwanamke tamthilia za kifilipino zinamdanganya Sana.

Anajikuta wa muhimu Sana kuliko MKE wangu, tena anatengeneza mazngira kunipima kati ya wife na yeye ntaegemea upande upi.

Asichojua ni kwamba,
Wife Ni muhimu Sana kuliko yeye.

Yeye ukiondoa TU icho kidudu chake, Hana Cha ziada kuoffer kwenye maisha yangu.
Yawezekana ni mchepuko wako wa muda mrefu ndo maana ameanza kujipima nguvu na mama mjengo wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom