Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 19,850
- 42,028
Sasa mchepuko unataka nn kwako zaidi ya biashara? Aufurahishe mwili wako umpe mahitaji yake hilo ndo lengo.Kwani mahusiano Ni biashara mkuu,
Kias kwamba aangalie maslahi yake TU?
Sasa mchepuko unataka nn kwako zaidi ya biashara? Aufurahishe mwili wako umpe mahitaji yake hilo ndo lengo.Kwani mahusiano Ni biashara mkuu,
Kias kwamba aangalie maslahi yake TU?
We umeona wapi mchepuko anahudumiwa kama anahudumiwa mke wavulana kama hawa ndio walitakiwa wasionewe huruma hata kidogoJibu ni hana akili,si unaona kila siku analeta nyuzi za kumlalamikia mwanamke huyo huyo mmoja
Ni uijinga tu wala sio mapenzi hapoAliyesema mapenzi yana run dunia ni mwongo mkubwa.....
Ukweli ni kwamba mapenzi yanam run huyu kiumbe anayeitwa Deeppond
sasa mwanamke anajua umeoa kabisa unadhani kwako anataka ndoa au??? mwaga helaa mwaga urotooo kafee mbeleee...Sasa mchepuko unataka nn kwako zaidi ya biashara? Aufurahishe mwili wako umpe mahitaji yake hilo ndo lengo.
K tamu ya moto, inampelekesha mpaka hajielewielewi 🤣🤣Me nikajua akili zilikurudia ukapiga chini kumbe hadi leo unateseka na huyo mwehuu 😀 😀 😀
hamna mtu hapa ni ushambaa tuu.K tamu ya moto, inampelekesha mpaka hajielewielewi 🤣🤣
uyo unamlaumu bure tu.Ni hivi,
Ijumaa baada ya kufunga duka nlkua nna ratiba ya kwenda kwake, ghafla nikapewa taarifa MKE wangu kakimbizwa ghafla hospitali, analalamika Tumbo linaamuuma sana.
Kanipigia kuniuliza "vipi mbona ufiki"
Nikamtaarifu sitoweza kuja kwako, niko njiani naelekea hospitali, mke wangu kakimbizwa ghafla. Nashangaa ananitumia sms za kipumbavu, nikaona asije niharibia Siku, nikapata ajali barabarani, sikuzijibu sms zake.
Baadae kanipigia Akisema "Sasa Ni pesa ya matumizi vipi, hamna chochote cha kupika uku? "
Nikamwambia "nenda Duka la mangi Apo jirani, akakupe vitu unavyohitaji vya kupika, nkija ntamlipa pesa yake". Baadae kanirudishia mrejesho kua kamkuta mkewe, kasema hakopeshi.
Nikamwambia, Basi tumia balance yako, nunulia vitu vyote vya kupika, utanipa hesabu Kisha ntaifidia nikija uko kwako. Kasema sawa.
Tangu juzi sijakwenda kwake wala kumpigia Simu, nmetuliza akili namuuguza wife kwanza.
Leo ananiuliza hivi namchukuliaje,
Hata Salam kuulizia tu mgojwa niliemtaarifu anaumwa kapelekwa hospitali ghafla anaendeleaje, hamna.
Anachoulizia direct Ni pesa zake za matumizi nilizoahidi ntafidia baada ya kuzitumia kugharamia chakula chake mwenyewe.
HUYU MWANAMKE HANA UTU, UBINADAMU WALA USTAARABU KABISA![]()
Well saidBRo endekeza ngono na wanawake wajinga lkn tambua hakuna tuzo ya kuto..mber![]()
Unapata huduma lipia huduma njia kuu na bora ni kujiepusha na michepuko haikusaidii mkuu zaidi inakupa stress ona na uzi unafungua kisa anataka kukamata miliki zakoKwani mahusiano Ni biashara mkuu,
Kias kwamba aangalie maslahi yake TU?
haya yana make sense sana km unafikiri kwa kichwa kikubwa hiki cha juu au uwe umeishiwa huna elaBRo endekeza ngono na wanawake wajinga lkn tambua hakuna tuzo ya kuto..mber![]()
We ndo umesema ukweli, hilo jamaa halina akili hata moja kwasababu mambo ya kipumbavu anayaleta mitandani na screenshots juu, huyo mama J naona kama ana afadhali vile maana anajua libwana lake halina akili ndomaana analiendesha kama gari bovu, hebu tuma namba ya M-PESA nikuwekee sodaFor me naona jamaa ndio akili hana na huyo manzi anatumia udhaifu wake kama fimbo ya kumchampia
Ushamba wa K ndio unamsumbua 🤣🤣hamna mtu hapa ni ushambaa tuu.
Hahaha Kabisa bosssasa mwanamke anajua umeoa kabisa unadhani kwako anataka ndoa au??? mwaga helaa mwaga urotooo kafee mbeleee...
Si tulikwambia unapangwa?
Wanawake aina ya Majay hata Yesu anawajua hawezi okoka![]()

hata yesu anawajua,aah hii nimeipenda
Ni kweli shemu, kuna wanawake wamekuja kuleta mateso tu ujue, sio kama wewe uliye mke bora shemu😂😂hata yesu anawajua,aah hii nimeipenda