Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,580
- 20,466
Nimeona wanamartial arts wengi wanapigwa na wacheza judo. Je judo ndiyo martial art bora zaidi?
Je, judo iko ndani ya martial arts, kama jibu ni ndiyo kwa nini unasema "wanamartial arts wengi hupigwa wacheza judo"?Nimeona wanamartial arts wengi wanapigwa na wacheza judo. Je judo ndiyo martial art bora zaidi?
View attachment 3656076
Ubora wa kwamba mtu wa Kickboxing, mieleka, ndondi, karate, Muay Thai etc si rahisi akampiga mtu wa Judo. Asilimia kubwa mtu wa Judo ataibuka mshindi.Inategemea unamaanisha ubora gani. Kama ni ubora wa kukumbatiana na kuangushana chini, sawa.
Judo bila ujuzi wa striking ni bure.Ubora wa kwamba mtu wa Kickboxing, mieleka, ndondi, karate, Muay Thai etc si rahisi akampiga mtu wa Judo. Asilimia kubwa mtu wa Judo ataibuka mshindi.
Nimeona wacheza Judo wakiwadhibiti watu wa martial arts zingine bila hata kustrikeJudo bila ujuzi wa striking ni bure.
Toa mifano hai.Nimeona wacheza Judo wakiwadhibiti watu wa martial arts zingine bila hata kustrike
Hivi mkuu judo au karate ina mwisho wa umri mtu kujifunza?Toa mifano hai.
Mtu wa Judo wa rank gani kamdhibiti mtu wa mchezo gani na wa rank ipi?
Isije kuwa black belt wa Judo kapigana na white belt au yellow belt wa shotokan hapo lazima awadhibiti tu.
Mwisho kumbuka the deadliest style in martial arts is the one you train most.
Mazoezi hayana umri.Hivi mkuu judo au karate ina mwisho wa umri mtu kujifunza?
Kuna mtu alinieleza karate ina mwisho wa mtu kujifunzaMazoezi hayana umri.
Kama hauna shida yoyote kimwili unaweza kufanya mazoezi na umri wowote.
Alikudanganya pakubwa sana.Kuna mtu alinieleza karate ina mwisho wa mtu kujifunza
Hapana.Nimeona wanamartial arts wengi wanapigwa na wacheza judo. Je judo ndiyo martial art bora zaidi?
View attachment 3656076
natamani mno nijifunze karate ila shida sipo darAlikudanganya pakubwa sana.
Karate unaweza kujifunza hata ukiwa mzee wa miaka 70.
Mazoezi hayana age limit.
Akina James Bond,Wesley Snipes,Chuck Norris hao wote wameanza mazoezi wakiwa na miaka 30+ na wametoboa fresh.
Ni ipi martial arts bora?Hapana.
Judo ni miongoni mwa martial arts ambayo ipo rank ya chini kwa ubora.
Upo wapi mkuu?natamani mno nijifunze karate ila shida sipo dar
Martial art maana yake ni sanaa ya mapigano.Je, judo iko ndani ya martial arts, kama jibu ni ndiyo kwa nini unasema "wanamartial arts wengi hupigwa wacheza judo"?
Hebu tueleze bhana sisi wazee wa kanisa maana hatuelewi lolote kuhusu michezo hiyo.
Chai.Ubora wa kwamba mtu wa Kickboxing, mieleka, ndondi, karate, Muay Thai etc si rahisi akampiga mtu wa Judo. Asilimia kubwa mtu wa Judo ataibuka mshindi.
Kama unahitaji kweli kufanya martial arts nakushauri go for shotokan.Ni ipi martial arts bora?
Asante mkuu,nina nia kweli vipi inaweza kuchukua mwaka mzima?Kama unahitaji kweli kufanya martial arts nakushauri go for shotokan.