ndiyo

Ndiyo was a non-profit organisation based out of Cambridge, United Kingdom, which aimed to promote networked computing that is "simple, affordable, open." Ndiyo, pronounced nn-dee-yo, is the Swahili word for "yes". The company developed an ultra-thin client called the nivo (network in, video out) based on Ubuntu Linux and other open-source software, for use especially in developing countries. The data sent to the clients over the network was pixel data, using a similar approach to Virtual Network Computing (VNC).
The project worked on the basis of multiple workstations running from a single PC. Quentin Stafford-Fraser, founder of the organisation, told The Economist "We can make computing more affordable by sharing it". The system allows a basic PC running linux to be shared by many users.
The Ndiyo Nivo was similar in concept to Sun Microsystems' Sun Ray virtual display thin client, but at sub-$100 and using only 2W, it was lower-cost and used much less power, making it more suitable for these kinds of situations.
In addition to its use by organisations within the United Kingdom, Ndiyo-based systems were deployed in internet cafes in Bangladesh and South Africa, and in Tanzanian Schools.
The Nivo technology went on to become the basis of DisplayLink, a company founded by members of the team.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mama ndiyo alikataa uwekezaji wa Dangote. Jamaa hatoi rushwa

    https://youtu.be/f15VJ4o67RA?is=VyW59TMZb_HPrkTA
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Drones ndiyo silaha kuu ya vita vya kisasa?

    Kwenye vita ya pili ya dunia, mizinga ndiyo silaha iliyoua watu wengi kuliko silaha yoyote. Kwenye vita ya Ukraine na Russia asilimia 70-80 ya vifo na majeruhi yanatokana drones, tena zile drone ndogo ndogo za kuwinda watu zinazoitwa FPV(First Person View). Mwaka huu pekee Ukraine wanatarajia...
  4. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania SASA TUKISEMA CCM NDIYO ILIUWA WANANCHI OCTOBER 29, TUNAKOSEA WAPI?

    Siku zinavyozidi kwenda wauwaji wa 29 Oktoba 2025 wanazidi kujilikana
  5. passioner255

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema CCM Tarehe 29 Oktoba 2025 ndiyo iliyoua watu?

    baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29. hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Convocation yà PhD ya Uchawa ndiyo hii hapa

    Msikilize Mheshimiwà huyu. He is an authority in the field of UCHAWA making a presentation on his convocation day
  7. goldcall

    JamiiForums Tanzania Kama ulisikia Yesu anarudi na hakurudi, basi ndiyo anarudi sasa

    Kichwa cha habari kipo katika kukuamsha wewe ndugu, rafiki, jamaa, mzee, kuwa Yesu yupo malangoni kuja kulichukuwa kanisa, Tupo karibu sana, na ile dhiki kuu, mpinga Kristo anasafishiwa njia sasa, dalili iliyo kuu ni hii! kuwapumbaza watu makanisani kupitia harufu mbaya inayo chafua uwepo wa...
  8. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Linda Mgongo Wako na wa Jamii Yako: Msimamo wa Dudubaya ndiyo msimamo wa Watanzania wote.

  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo nyoka mzuri zaidi duniani.

    Anaitwa Rough Scaled Bush Viper. Anapatikana Afrika ya Kati na Mashariki. Tanzania, DRC, Uganda na Kenya. Wahaya mmewahi muona huyu huko kwenu?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Machinga Dar wachoshwa na ngojera za maendeleo ya vitu, wasisitiza maendeleo ya watu ndiyo muhimu zaidi

    22 September 2026 Tandika, Dar es Salaam Machinga wa jijini Dar es Salaam wasema maendeleo ya vitu siyo msingi wadai maendeleo ya watu https://m.youtube.com/watch?v=pUFAOzubI44 Chinga hao wa halmashauri ya Temeke eneo la Tandika jijini Dar es Salaam waonesha uelewa mpana wa maendeleo ni nini...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wanajua haki ni msingi wa AMANI, UTULIVU, MAENDELEO and you name it! Kwa vile wakivunja HAKI wanatawala wanavyopenda, ndiyo maana WaNAPUUZA HAKI!

    Wakitoka madarakani watalilia na kutaka HAKI maana wanajua umuhimu wa haki. Hawa wataomba hata Dunia iwasaidie watendewe haki maana haki ni kama OXYGEN. Lakini kwa vile wakitimiza, WAKITENDA HAKI wataondoka madarakani asubuhi na mapema, ndiyo maana nguvu yao iko kwenye kupuuza Haki! MAJESHI...
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo "CV" ya Judge atakayetoa hukumu

    Siku ambayo Judge atatoa hukumu imekaribia. Kuna watu wamejiandaa kushangilia, lakini wengine mioyo yao inadunda kwa hofu, kwakuwa wanajua ni wakosaji. Je, Judge huyu atatoa hukumu ya haki? Je, anaweza kuhongwa ili abadilishe hukumu? Wakati tunaisubiri siku ya hukumu, hebu tutafakari "CV" ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Lissu ndiyo mtu anakimbiwa na IGP , CDF 🤦🏾‍♂️

    Kwenye historia hatujawahi kuwa na wakati kama huu. Raisi fake mwoga, IGP na CDF ambao ni machawa na wanankimbia mtu ambaye yupo Jela😂😳
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Picha;-Wazungu waja na data kwanini ni nchi yao, kanuni wa kwanza ndiyo mwenye eneo!

    Ha ha ha !
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Gen Z ndiyo Kizazi kikubwa zaidi Duniani, Kikiwa na Watu bilioni 2.04

    Kizazi cha Gen Z sasa ndicho kizazi kikubwa zaidi duniani, kikiwa na wastani wa watu bilioni 2.04 — sawa na 24.8% ya idadi ya watu wote duniani. Kinafuatiwa na Millennials wenye watu bilioni 1.87 (22.6%), huku Gen Alpha ikiwa na watu bilioni 1.74 (21.1%). Kwa pamoja, vizazi hivi vitatu vina...
  16. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama Haulindwi kwa Maneno, Bali kwa Muundo: Kwanini Kauli ya kikatiba kwamba "Mahakama ni huru", bila muundo bora ni Udhaifu mkubwa..?

    Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama haupimwi kwa maneno ya utangulizi, unapimwa kwa maswali magumu zaidi: nani anateua Majaji, kwa muda gani...
  17. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

    Yes sir. Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently. Fikiria hivi. You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend. 1. Assume unaishi Dar bado hujajenga. Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Sema watanzania ni rahisi sana kudanganyika. Sasa Kanali wa NATO ndiyo nini?

    Watu wako Kanali wa NATO Kanali wa NATO! Unaweza kudhani wanatania kumbe ndiyo wameishaamini hivyo. NATO ina Kanali na jeshi tokea lini? Sijui ni Gen Z hawa ambao hawakusikiliza Dochivele ndiyo weupe hivi kichwani? Anyway, salama iwe na Polepole.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika ni kiboko, ndiyo maana alikuwa Tanzania One! Soma alivyombabadua Katuga

    Katibu Mkuu wa Chadema anaendelea kutoa ushahidi wake. Mahakama imerejea muda huu saa tisa kasoro alasiri. Majaji wameingia tayari na Ajuaye Zengeli anasema wako tayari. Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika anapanda kizimbani. Anasimama KATUGA anasema atakuwa na maswali machache labda kama...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Tazama. Hii Ndiyo 'Cream' ya Uongozi wa Taifa Hili.

    Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM. Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili. Labda 'niqualify' tu kwamba ni...
Back
Top Bottom