Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,580
- 20,466
Taifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida yao nini?