Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,837
- 50,541
Nimeangalia mahojiano ya Tundu Lissu na John Mnyika kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu, nikajiuliza vipi hao wanaohojiana ndiyo wangekuwa ni viongozi waandamizi wa CCM?
Hii kesi inaonesha ni kwa kiasi gani CHADEMA ina viongozi bora na weledi kuliko viongozi waliopo CCM.
Hii kesi inaonesha ni kwa kiasi gani CHADEMA ina viongozi bora na weledi kuliko viongozi waliopo CCM.