bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,428
- 2,683
Sambo ni habari nyingine, ushahidi upo UFC ambako group la kina Khabib na Islam wanaonyesha uwezo mkubwa sana.... yaaani mpaka mtu mwenye black belt ya judo hawa wazee wa sambo wanasema wanaomba wampime kama kweli ni black belt.. nomer mzeee Islam Mackchef akikukamata ni kama python vile hutoki...
these Russian Mthfckf
these Russian Mthfckf