Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 596
Wanasema: bora kumuheshimu kila mtu mana huwezi jua kesho yako. Lakini hapo hapo kwenye swala la kutii, ni kukubaliana na kila maagizo unayopewa bila kwenda kinyume. Sasa ni kweli heshima ni bora kuliko kutii?