Mpaka leo bado unamlaumu baba ako kwa wewe kua bado maskini?Lawama zote kwa Magufuli, ndiye ametufikisha huku.
Duh,Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Kuna mapambano kati ya wananchi na Polisi Kijiji Cha Mbesa kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi,Wilaya ya Tunduru, jimbo la Tunduru kusini.
Polisi wanavunja milango nyumba Hadi nyumba kukamata wanaume,wengi wamekimbilia mashambani.Mwenye taarifa Zaidi atujuze.
yaelekea Tanzania kuna vibaka na hakuna Askari PolisiHao ni vibaka sio polisi.
Hii ndio JFKwa hiyo ni ushahidi wako wa kusikia? Mahakama na waheshimiwa Majaji wameandika
Kwani Magufuli alijiua?Lawama zote kwa Magufuli, ndiye ametufikisha huku.
Kwani Magufuli alijiua?Hii inchi ishageuka kuwa ya waaasii...ndyo maana mwanamke kwangu ctaki hata story nae .. Maghufur pumzka kwa amani Ila umetufikisha hapa
Magufuli alikuwa Mwanamke? Mbona mlimtukana?Kuongozwa na mwanamke ni laana.
Sijaelewa hii comment yako kwamba unawatetea polisi ? Kwamba hawawezi kufanya hivo ?.Hao ni vibaka sio polisi.
Sawa classmateNaona kuna machafuko makubwa sana yanakuja sio kitambo.
Mtakuja kunikumbuka one day
Halafu mbona uzi ule umepotea kimya kimya.wakuu habari hii isijekua kama breaking news ya moto ya jana ,
Tena mwanamke wa kiisilamu mwenye gubuKuongozwa na mwanamke ni laana.
yezebeliKuongozwa na mwanamke ni laana.
Hao polisi ni vibaka.Sijaelewa hii comment yako kwamba unawatetea polisi ? Kwamba hawawezi kufanya hivo ?.
Au unamaana gani ? Weka Sawa kwanza tuone.
Yeah,yaelekea Tanzania kuna vibaka na hakuna Askari Polisi
Ukorofi huooo!