Tetesi: Kuna mapambano kati ya Polisi na wananchi Tunduru

Tetesi: Kuna mapambano kati ya Polisi na wananchi Tunduru

Wakati police 2013 wanavunja milango na kuondoka na wanaume Mtwara mtawala alikuwa mwanamke?
Wakati police wanavunja milango na kuondoka na wanaume Liwale 2020 na 2018 mtawala alikuwa mwanamke?
Vipi Zanzibar 2001 wakati police wanavunja milango na kuondoka na wanaume mtawala alikuwa mama yako?
Wewe tahira, ushoga unakusumbua.
Hapo mahali pametanuka tafuta bwana mwingine huyo tayari kwako ni kibamia
Ndio maana sisi mtwara huwa tunaamini cccm ni laana
 
aisee changamoto kubwa sana hiyo, sasa mbona wanawageuka wakati walikua wanataka kuwapanga hao machinga
ni stor ndefu lakini jua tu kwamba
tamko moja la mwanasiasa linaweza badilisha familia nyingi sana kwa usiku mmoja
meza walipewa na ilitakiwa walipe kodi
so walikua rasmi sasa
nadhan kama siku tatu baada ya kupewa zile meza na manispaa
mkubwa wa nyumba akasema jiji ni chafu
mkubwa wa jiji akasema hataki machinga

so ndo wakapewa wiki moja tu wawe wamefutika tandika
mpaka kule kwenye mitumba kule wale wooote waliokua katikat wametolewa

sasa wakaambiwa wawende buza ila wasiweke meza zao inabidi wapewe zile za manispaaa za kulipia (sina uhakika na kiwango)maana kabla ya hizo hekaheka ilikua laki mbili kupata meza (na sio meza ni frem tu ya chuma ukatafute mbao mwenyewe)
then ile meza utakua unailipia efu 30 kwa mwez

walivyofika buza wakakuta meza zimeisha....watu ambao hata hawajatoka tandika washaziwahi
ndo kuandamana ile majuzi na ndo polisi kuja sasa kesho yake jion maana walikua wamerudi na kutandika vitu chini
 
poleni sana kwa kushuhudia tu hiyo vurugu,
zile meza za chuma nishaziona zakhiem kule, ila kule nadhani wanakusanya ushuru kwa siku.

coordination kwa wenye malaka ni mbovu sana, maana hao wakupelekwa buza ilitakiwa wawe washalipa na kutambuliwa na kusubiri kwenda kuoneshwa meza zao huko buza

mkuu wa wilaya ya temeke na mkuu wa mkoa wake kumaliza mwaka kesho ndani ya mkoa huu inaweza ikawa ngumu kwao
 
Back
Top Bottom