ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,589
- 130,945
Hata nyumba inayoongozwa na mwanamke we iangalie tu, hakuna kituKuongozwa na mwanamke ni laana.
Hata nyumba inayoongozwa na mwanamke we iangalie tu, hakuna kituKuongozwa na mwanamke ni laana.
Naona dalili zoteTunaelekea kubaya sasa.
Marehemu hasemwi ila kwa hapa magufuli alifeli sana sijui aliwaza nnLawama zote kwa Magufuli, ndiye ametufikisha huku.
mtoa mada aituvesha,Halafu mbona uzi ule umepotea kimya kimya.
fafanua mkuu, maana kuna mengi yalikua yanatokea hapo tandika siku za karibuni, wamachinga kupangwa wenye maduka wakagoma bila kusahau operesheni ya kufungua njiakilichojiri tandika
hatukuweza kurecord watu wamepokonywa simu waliojaribu
basi Tanzania imebadilika
it was baaad
Duuuh ,mbwe mkulu kwa sasa inaenda kufaNilifika muhesi 2010 September kuuza madini niliyatoa Mbwemkulu
Sio polisi tu, askari yeyote wa nchi hii bila kujali jeshi lake(hata kama ni mgambo) ukikutana naye kaa kwa tahadhari maana lolote baya linaweza kutokea.Polisi wa Tanzania ni watu hatari sana. Basi tu.
zilikuja jion gari kama 10 za polismtoa mada aituvesha,
fafanua mkuu, maana kuna mengi yalikua yanatokea hapo tandika siku za karibuni, wamachinga kupangwa wenye maduka wakagoma bila kusahau operesheni ya kufungua njia
Hakuna mbunge hata mmoja aliyechaguliwa na wananchi October 29 hakukua na uchaguziLakin bunge lipo kwa Nini haliisimamiii serikali then serikali isimamie Askari wao
Mi nadhani huu mda mwafaka wabunge vilaza hii awamu iwe ya mwisho ...tupeleke watu kama segirada .n cyo baba level
Mbunge anacha kutafakari
Juu ya
1.utekaji
2.uwajibikaji wa watumishi wa umma
3.watumishi wa umma kugeuza ofsi kama za familia zao
4.Watumishi wa umma ijumaa wanaharibu mafuta kuja kura starehe dar es salaam
5. Kwa nini raia wanatekwa n.k
Badala yake anajadili et mambo ya ngono kwenye familia
Daaahhh Mbwemkulu enzi hizo ilikuwa kama town. Kitowelo ya kitambo ila ilikuwa haichangamki.Duuuh ,mbwe mkulu kwa sasa inaenda kufa
Aisee nyie kitambo sana wengine sisis ni juzi tu hapa , kidogo mwaka huu Muhwesi imetema kidogo ila masika ndio hiyoo hamna kazi tenaDaaahhh Mbwemkulu enzi hizo ilikuwa kama town. Kitowelo ya kitambo ila ilikuwa haichangamki.
Nasikia sasa Tunduru kutamu sana.
Nataka nije nichimbe nishachoka hizi kazi
Wewe umesalimika lakini?zilikuja jion gari kama 10 za polis
wale waliokuwa wamepanga chini vitambaa
wakawa wanakimbizwa na magari kama enzi za mkaburu south
it was bad
aisee changamoto kubwa sana hiyo, sasa mbona wanawageuka wakati walikua wanataka kuwapanga hao machingazilikuja jion gari kama 10 za polis
wale waliokuwa wamepanga chini vitambaa
wakawa wanakimbizwa na magari kama enzi za mkaburu south
it was bad
Unaye mtetea aliwauwa ndugu, jamaa na marafiki zetu hapo October 29 mpaka Leo hatujazikaWakati police 2013 wanavunja milango na kuondoka na wanaume Mtwara mtawala alikuwa mwanamke?
Wakati police wanavunja milango na kuondoka na wanaume Liwale 2020 na 2018 mtawala alikuwa mwanamke?
Vipi Zanzibar 2001 wakati police wanavunja milango na kuondoka na wanaume mtawala alikuwa mama yako?
Wewe tahira, ushoga unakusumbua.
Hapo mahali pametanuka tafuta bwana mwingine huyo tayari kwako ni kibamia
Dahhh poleni.Aisee nyie kitambo sana wengine sisis ni juzi tu hapa , kidogo mwaka huu Muhwesi imetema kidogo ila masika ndio hiyoo hamna kazi tena
Ni kweli ila mimi natumia machine na kuosha kwa machine piaDahhh poleni.
Na huu uchimbaji wa ki locally mvua ni adui mkubwa
mwana utakuwa don soonNi kweli ila mimi natumia machine na kuosha kwa machine pia