DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,486
MmmmmhHahahahahaaa. Niko single lakini
Bas sawa
Ume friendzone mme mwenzangu
MmmmmhHahahahahaaa. Niko single lakini
Nasubirii na mdudu kapotea wapi sijuiHamna ntakuelezea vizur wsp
Utasahau lini? Hujawahi kuwa na mtu kama S. Huwezi sahahu haraka hivyo. Ile ilikua kama ndoaNtasahau tuu... Unanijua.
Hapa umeandika,thats trueKulikuwa na maisha kabla yake na kuna maisha baada yake, hatukuumbwa kwa pair kusema baada ya huyu hakuna mwingine..
Ndio maana napenda kupendwa kuliko kupenda zaidi.. Najua moyo wangu ulivyo naweza kurudisha upendo ninaopewa, ngumu kulipenda jitu silielewi.
Uchochez
I get uNot real... Ila ni vitu vibaya sana kuachana...especially kama ulishaanza kuwqza vitu vyako kichwqni and all
Siipendagi "baby its not you, its me nyoko nyoko nyoko"
Eewwhh... Nachoka kabisa... Sema hili nalo litapita.Utasahau lini? Hujawahi kuwa na mtu kama S. Huwezi sahahu haraka hivyo. Ile ilikua kama ndoa
Mwaka mrefu sanaPole mwaya. Mimi sijawahi kuachwa hivyo. Huwaga nikiona sielewi nakaa pembeni ila ndo ntaumiaaa kama nimepoteza nini sijui. Nakaaga kushoto mwenyewe halafu nalia hata mwaka hivi
Yeah yuko hapo.Mmmmmh
Bas sawa
Ume friendzone mme mwenzangu
AiseeHahahahahaaa. Niko single lakini
Nakusalimu Mzigua90Ingekua kuacha ni rahisi hivyo dunia ingekua nzuri
Inshallah. Ukiongeza safari za bahari beach litapita tuEewwhh... Nachoka kabisa... Sema hili nalo litapita.
Yaniiiii inaumaaaa .. Yani kabisaaa physical kama unaungua au unafinywa moyoI get u
Siipendagi "baby its not you, its me nyoko nyoko nyoko"
Unakua humpati wa kumpa moyo unapata wa kujaribu siku mbili 3 unaachana naeMwaka mrefu sana
Code codeUtasahau lini? Hujawahi kuwa na mtu kama S. Huwezi sahahu haraka hivyo. Ile ilikua kama ndoa
aku...vijana wenzangu saiv.Inshallah. Ukiongeza safari za bahari beach litapita tu
Salamu na zikurudie pia. Za kupoteana humu?Nakusalimu Mzigua90