Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Dah...kama vile unapoajiriwa unajiandaa na kustaafu.....na unapoingia kwenye mahusiano unajiandaa na kibuti...
 
Mapenzi ya kibinadamu nayo yanazaliwa yanakua na mwisho yanakufa, hiyo true love never dies ni mistari tu ya nyimbo
Inategemea

Wengne tukipenda upendo haufi. Sema sjapata mtu wa kumpenda kias hicho zaid ya ndugu zangu.
 
Kweli kabisa maisha lazima yaendelee utaumia lakini badae utasahau kila kitu
 
Hii huwa msiba, kama misiba mingine hupita na kusahau maisha yakaendelea
 
Kuachwa kunauma sana kikubwa ni kukubali kuwajibika kwa matokeo.Usimlaumu mtu jua wewe ni sehemu ya mahusiano kuvunjika haijalishi nan katenda kosa.Hii itakupa nguvu ya kumove on.
 
Muda ndo mwalimu wa kila kitu, but unahitaji emotional intelligence kumove on, kupigwa Chini ni kawaida kama hasara kwenye biashara, Maisha lazima yaendelee
 
Nakazia hapo
 
Back
Top Bottom